Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6744.JPG
 
Sasa tunaingia December

December

Wednesday 4

Liverpool – Everton

Saturday 7
Bournemouth - Liverpool

Saturday 14
Liverpool – Watford

Saturday 21
West Ham United - Liverpool (Postponed)

Thursday 26

Leicester City - Liverpool

Saturday 28
Liverpool – Wolverhampton Wanderers
 
Hahaha, sasa hivi tunapokea wageni wengi sana.

Sema hawa hawachelewi kurudi walikotoka mambo yakibana.

Kama ule uzi wa Man City sasa hivi wamerudi kwao.

Humu mulikuwa na Vijinyuzi vya AC Milan, Juventus, Spurs na PSG vyote vimekufa, Sasahivi na haka kajinyuzi uchwara cha Man City kinaendea kufa.
 
Tumeimaliza November kwa 100% Win

Saturday 2
Aston Villa 1 - 2 Liverpool

Sanday 10
Liverpool 3 – 1 Manchester City

Saturday 23
Crystal Palace 1 - 2 Liverpool

Saturday 30
Liverpool 2 – 1 Brighton and Hove Albion
December the loaded season start with vs The Blue end...

As we have sailed November safely and sound minus the UCL disappointment we will be okay come end December I Klopp trust and the boys they are mature enough now to know what count is the 3 points thus even winning by 1 goal is more than enough...

YNWA
 
Hahaha Gerrard moja ya kiungo mzembe mzembe iv kuwahi kutokea ..ukiachana na iyo ya Demba Ba kuna ile alimpasia King Didier ikawa bonge la assist aise ...

Liverpool alikufa 2-0

Steve G alibebwa na akina Babel, Alonso, Glen Johnson, Carragher Jamie...bila wao hamuna kitu mule..
Aiseeh wewe hizi bangi sijui kwanini huachi ????
 
Sasa tunaingia December

December

Wednesday 4

Liverpool – Everton

Saturday 7
Bournemouth - Liverpool

Saturday 14
Liverpool – Watford

Saturday 21
West Ham United - Liverpool (Postponed)

Thursday 26

Leicester City - Liverpool

Saturday 28
Liverpool – Wolverhampton Wanderers
December naiona ngumu kwetu kwa Bournemouth na Leicester City! Ingawa Wolves nao siyo wabaya sana! Derby nayo sijui wachovu watafufukia kwetu?
 
Sikuhizi kumeibuka washabiki wa kiajabuajabu wanazunguka kila jukwaa kuandika ujinga tu.

Wao huwaoni kuandika kitu ambacho kinamake sense bali ni pumba tu.

Even some LFC fanboys wanaranda Nyuzi nyengine kuandika Pumba tu jambo ambalo sio utamaduni wa Kopites.
Kabla ya this Awamu (Magufuli era) sikuwahi kuwaona Kopites waliotutangulia Kuwa na Tabia ya kurabdaranda nyuzi za majirani kuandika Pumba.
But kwenye this Magufuli era wamekuwa wakisambaza huzi Pumba.

HIZO DIGRII 4 ZAKO MZEE NDIO UNATAKA UKIMBIZE WANA LIVERPOOL WENZIO WA STD7A!!!!!?

umefika mbali sana.

...maana hii imekuwa too much kwa Mh. Rais,haiwezekani kipindi chake ndio kihusishwe na uwepo wa watu wa ajabuajabu,.
Halafu mtu umazungumza tu bila tafiti....mzee kaingia 2015 wewe hapa JF umeingia 2016,Je hao watu wa kabla ya MAGU ERA uliwaonea wapi?(nahisi ungekuwepo kipindi cha kina Wacha1 ungetia mtu makofi maana mfano ndio umecomment kama hivi mwenzio anacheka page nzima mpaka unahisi kero.....)

Alafu pia sio kila mtu ni shabiki?

Kuna...WASHANGILIAJI,WAPENZI na MASHABIKI.

Watu hatuwezi kufanana daima ndugu....we chunguza hata katika familia yako nyumbani.

Mungu fundi na ndio maana kaweka kitu UVUMILIVU....

WEWE WAVUMILIE TU MKUU.
 
Mkuu this guy nataman kuona hata sura yake walah,

Anataka kuleta mipaka kwenye vitu ambavyo ni hamna, anadhan anavoogonza familia yake ndio anaweza kuongoza jf,

This is stupidity, kutaka kusifiwa sifiwa tu kila kitu,

Hata kama liverpool akiwin title bila kupoteza any game with 100+point sio kwamba dunia nzima tutakuja humu kuwasifia, hili anatakiwa kulijua
HIZO DIGRII 4 ZAKO MZEE NDIO UNATAKA UKIMBIZE WANA LIVERPOOL WENZIO WA STD7A!!!!!?

umefika mbali sana.

...maana hii imekuwa too much kwa Mh. Rais,haiwezekani kipindi chake ndio kihusishwe na uwepo wa watu wa ajabuajabu,.
Halafu mtu umazungumza tu bila tafiti....mzee kaingia 2015 wewe hapa JF umeingia 2016,Je hao watu wa kabla ya MAGU ERA uliwaonea wapi?(nahisi ungekuwepo kipindi cha kina Wacha1 ungetia mtu makofi maana mfano ndio umecomment kama hivi mwenzio anacheka page nzima mpaka unahisi kero.....)

Alafu pia sio kila mtu ni shabiki?

Kuna...WASHANGILIAJI,WAPENZI na MASHABIKI.

Watu hatuwezi kufanana daima ndugu....we chunguza hata katika familia yako nyumbani.

Mungu fundi na ndio maana kaweka kitu UVUMILIVU....

WEWE WAVUMILIE TU MKUU.
 
December naiona ngumu kwetu kwa Bournemouth na Leicester City! Ingawa Wolves nao siyo wabaya sana! Derby nayo sijui wachovu watafufukia kwetu?
Naiona safu ya ushambuliaji kama ina uchovu sana, ingawa midfield na beki zikifanya majukumu yao.

good thing team bado inashinda ingawa ni ushindi finyu game baada ya game, december itakuwa ngumu sana na game za kucheza ni nyingi.

chamuhimu ni forwards kurudi kwenye fomu mapema na ku avoid unnecessary injuries...
 
Mkuu this guy nataman kuona hata sura yake walah,

Anataka kuleta mipaka kwenye vitu ambavyo ni hamna, anadhan anavoogonza familia yake ndio anaweza kuongoza jf,

This is stupidity, kutaka kusifiwa sifiwa tu kila kitu,

Hata kama liverpool akiwin title bila kupoteza any game with 100+point sio kwamba dunia nzima tutakuja humu kuwasifia, hili anatakiwa kulijua
Naona jiwe la gizani limekugusa. Hamna sehemu ambayo jamaa amesema kwamba timu isifiwe tu, bali ameongelea 'pumba' - Kuongea vitu ambavyo havina mantiki. Kukosoa haimaanishi kusema pumba, lah! Bali unachoongea basi kiwe na mantiki na si tu kubwabwaja maana una simu na bundle.
 
Naiona safu ya ushambuliaji kama ina uchovu sana, ingawa midfield na beki zikifanya majukumu yao.

good thing team bado inashinda ingawa ni ushindi finyu game baada ya game, december itakuwa ngumu sana na game za kucheza ni nyingi.

chamuhimu ni forwards kurudi kwenye fomu mapema na ku avoid unnecessary injuries...
Kweli kabisa mkuu, yaani Salah, Mane inafika mahali wanatoka bila kutikisa wavu? Kweli wamechoka!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom