Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,814
- 15,558
Tunaangalia tofauti.m imi naona mido ndo mbovu na ndo zinapelekea fowadi zi choke mfano Mane anaridi hadi nje ya kumi na nane yetu mpaka afike kwa wapinzani keahachokaNaiona safu ya ushambuliaji kama ina uchovu sana, ingawa midfield na beki zikifanya majukumu yao.
good thing team bado inashinda ingawa ni ushindi finyu game baada ya game, december itakuwa ngumu sana na game za kucheza ni nyingi.
chamuhimu ni forwards kurudi kwenye fomu mapema na ku avoid unnecessary injuries...