koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Na nipo nae kabisa namuamini sanaJamaa katusaidia sana sina tatizo nae kabisa.
Na nipo nae kabisa namuamini sanaJamaa katusaidia sana sina tatizo nae kabisa.
Haha ndugu lol Adrian is better than Karius and Mignolet combined...Najikuta namtetea Adrian kama jamaa humu wanaometetea Henderson.
For God's sake, hatujawahi kupoteza wala kutoa draw mechi aliyodaka Adrian.
Na msimu huu tuna cleansheet 2 tu na zote ni za Adrian.
😏😯😯😯😯😂😂😂😂Kaseja Hiii nomaaaDah! Brother unavyomtetea Adrian nahisi kama unatania hivi!!!!
Sio siri nipo tayari golini akae Juma Kaseja kuliko Adrian.
Lakini kwavile Adrian ndiye Kipa pekee tuliyenae kwasasa basi ninamsupport kwa 100%.
Hatukatai kukosoaNaona jiwe la gizani limekugusa. Hamna sehemu ambayo jamaa amesema kwamba timu isifiwe tu, bali ameongelea 'pumba' - Kuongea vitu ambavyo havina mantiki. Kukosoa haimaanishi kusema pumba, lah! Bali unachoongea basi kiwe na mantiki na si tu kubwabwaja maana una simu na bundle.
Alipigwa ganzi hiyo mechi na ganzi kama hujui inaondoa hisia.Mkuu mechi na Southampton,goli tulilofungwa unakumbuka ilikuwaje?
Adrian alimpa pass ings Baada ya kupiga mbele yeye anampasia.
Mkuu mechi na Southampton,goli tulilofungwa unakumbuka ilikuwaje?
Adrian alimpa pass ings Baada ya kupiga mbele yeye anampasia.
Yani hajui kabsaa kwamba kaighalim team.Kwamba Alisson hajawahi kufanya makosa ya namna hiyo?
Goli la Leicester mwaka jana, kuna goli la Man Utd msimu uliopita nk.
Juzi yenyewe aliye tucost ni Alisson.
Kwamba Alisson hajawahi kufanya makosa ya namna hiyo?
Goli la Leicester mwaka jana, kuna goli la Man Utd msimu uliopita nk.
Juzi yenyewe aliye tucost ni Alisson.
Sijui kwanini lakini mimi akikaa adrian nakuwa poa sana kuliko allison. Dont get me wrong.Allison Ana makosa anafanya golini lakini we keep it cool sababu kuna mengi anatuokoa na toka arudi kwenye majeruhi ameshuka kiasi fulani ukiachana na yale ya kupiga chenga hili la red card ni moja la kosa la kipumbavu kabisa
Hahahaha kuwa mpole ..mimi simaanishagi banaNakosa hata cha kukwambia.
Ila wewe una upenz maandazi, kumdharau mtu kama gerrard ni dharau kubwa mnoo katika ulimwengu wa soka, bila shaka wewe ni shabiki wa chelsea kwa jinsi ulivyomlenga didier drogba.



Allison katoka kuwa kipa bora hadi kubeba red kadi ..amuna kitu pale..Kwamba Alisson hajawahi kufanya makosa ya namna hiyo?
Goli la Leicester mwaka jana, kuna goli la Man Utd msimu uliopita nk.
Juzi yenyewe aliye tucost ni Alisson.
Allison katoka kuwa kipa bora hadi kubeba red kadi ..amuna kitu pale..
Uyu atawanyima ubingwa..