Ukisoma makala aliyoielezea UCL final 2005 unaona huyu ni binadamu na nusu.
Anakuambia HT kwenye dressing room watu walikata tamaa ukiwatizama usoni (facial expression) 1.wanacheza na team inayo wachezaji wa kiwango cha dunia 2. wapo nyuma 3-0 haikua kazi rahisi.
Gerrard anasema benitez hakuzungumza chochote dressing room (ni kama aliona imeisha ) Gerrard ndiye aliongea aisee",.
Anaendelea kusema niliwaambia hivi we are Liverpool twende tuwaoneshe sisi ni Liverpool twende tukapambane kuwaonesha kops who are we",.
aise our captain fantastic Stevie G",.
Binafsi yake alikua akiwaza kukabilia na Kaka kiungo mwenye ubora wa kila namna haikua jambo jepesi kukubali akilini na mwilini wanaweza kurudisha magoli matatu.
.