Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6726.JPG
 
Kiungo wangu bora kiingereza wa muda woote, mchezaji bora wa kiingereza sambamba na rooney niliopata kuwashuhudia.

Wakat nakuwa kama si kuanza kuiona arsenal na thierry henry wake, basi ningekuwa mpenzi wa liverpool sababu ya stev gerrard asikwambie mtu, gerrard alikuwa ni mashine ya kazi, anajitoa, mpambanaji, muhamasishaji uwanjani, anaujua mpira, jamaa alikuwa ni bonge moja la mchezaji aisee, daima nafurahia kupata nafasi ya kumshuhudia bwana gerrard.
 
Salzburg hawezi mfunga liverpool kwanza ajiandae na kichapo kikali sisi tunaenda saka point tatu tuongozo kundi
Spurs alikuwa hovyo anachechemea ..uyo SouzBarg nani kampiga saba? Wewe mwenyew kwako ulitoka 4-3 ndo unaenda kwake?? Jipange mze..
 
Wamejichokea? Kwani Bayern anatoka ligi gani na Salzburg anatokea ligi gani? Kama tunaweza piga bingwa wa ligi inayoeleweka tutashindwa piga bingwa wa ligi sawa na ligi ya south?
Salzburg atawapa papaso kama la ruvu shooting
 
Hata ivo, ila wale jamaa nlipoona game yao na Genk na walipokuja Anfield amani sina. All in all timu yetu ni bora km Klopp hatofanya aliyoyafnya jumatano
Napoli alimfunga RB Salzburg nyumbani kwake.

LFC kwenye European games ambazo ni decisive kama hizi huwa hafanyagi makosa hata akiwa na timu mbovu vipi...fuatilia!
 
Napoli alimfunga RB Salzburg nyumbani kwake.

LFC kwenye European games ambazo ni decisive kama hizi huwa hafanyagi makosa hata akiwa na timu mbovu vipi...fuatilia!
We are made for European nights that where we thrive most and especially in this kind of tense calling situations...
 
Kiungo wangu bora kiingereza wa muda woote, mchezaji bora wa kiingereza sambamba na rooney niliopata kuwashuhudia.

Wakat nakuwa kama si kuanza kuiona arsenal na thierry henry wake, basi ningekuwa mpenzi wa liverpool sababu ya stev gerrard asikwambie mtu, gerrard alikuwa ni mashine ya kazi, anajitoa, mpambanaji, muhamasishaji uwanjani, anaujua mpira, jamaa alikuwa ni bonge moja la mchezaji aisee, daima nafurahia kupata nafasi ya kumshuhudia bwana gerrard.
👌👌👌👌💪💪💪💪💪👍👍👍👍Steve G was and will always be captain fantastic ooh what a soldier we had and very lucky to have the chance of seeing this amazing fellow produce fabulous goals in his career...

Man his thunderstrike in FA Cup vs West ham, the 2005 UCL comeback, and so so so many more he produced and motivated his fellow players to give their all...its used to be Steve and his red army ooh how we miss such a character in our current Captain lol kazi ipo
 
Steve G was and will always be captain fantastic ooh what a soldier we had and very lucky to have the chance of seeing this amazing fellow produce fabulous goals in his career...

Man his thunderstrike in FA Cup vs West ham, the 2005 UCL comeback, and so so so many more he produced and motivated his fellow players to give their all...its used to be Steve and his red army ooh how we miss such a character in our current Captain lol kazi ipo
Gerrard alikuwa mtu na nusu, ni furaha kumtizama uwanjani, mpambanaji, muhamasishaji. Nilijisikia vibaya mnoo siku aliyoteleza demba ba anaenda kuweka msumali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom