Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Huyu jamaa nafikiri liverpool tuanze kubadili mfumo sasa scheme10 firmino 9 Salah 7 na mane 11, Keita 8 na Fabby 6, nazani timu itakuwa inafunga goli nyingi sana kwa mechi
WIJNALDUM