Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwanini asichezeshe 3 defenders amtumie Kyle Walker, Jonstone na Fernandinho kwenye flanks acheze Zinchenko na Benjamin Mendy ?
Southgate alimtumia Kyle Walker kama central defender kwenye michuano ya world cup
Angekua Conte sawa Kwa huo mfumo ila kwa Pep tangu yupo Barca, Bavarians na sasa Citizen hajacheza huo mfumo..

Mendy na Zinchenko nao hawapo fit asilimia 100 labda hii break wawe wamepona...
 
Gini anatakiwa atengenezee nafasi washambuliaji na kutoa assists sasa ni aibu kuitwa mchezaji mzuri wakati unazidiwa assists na chances na Jordan Henderson

Barca iliyokuwa na Xavi na Iniesta katikati yupo Busquets midfield inafunga magoli ya kutosha maforward wanapewa mapande mengi kutoka kwa Xavi na Iniesta mapande mengi mpaka yanamwagika
Mkuu gini wa liverpool anafanya majukumu tofauti na anayofanya netherland kwa liver yuko defensive minded zaidi. Ukitaka umuone the real gini wa netherland bac majukumu aliyokuwa nayo henderson angepewa yeye uone shuhuli yake
 
Kwanza hii kumlinganisha na Hendo haijakaa sawa kwasababu ni wachezaji wanaocheza position tofauti.

Hendo anacheza juu zaidi kulilo GINI na Fabinho kwahiyo ni wajibu wake kutengeneza nafasi nyingi zaidi na kutoa assists nyingi zaidi kuliko GINI na Fabinho! Sasa sijui unashangaa nini GINI kuzidiwa na Hendo! Halafu sijui hizo stats za kumlinganisha kati ya GINI na HENDO umezitoa chanzo gani?

Kutokana na mfumo wa Klopp kumtumia Firmino na Hendo as upper midfielders wacreate chances ndiyo jambo linalomilimit GINI ukamuona muda wote anacheza chini zaidi kama Fabinho.

Sometime unaweza dhani tunachezesha 2 defensive ya GINI na FABI.

Kwahiyo GINI siyo kwamba hana uwezo wa kutengeneza nafasi au kuassist au kufunga, Bali kutokana na mfumo wa Klopp anachezeshwa hivyo kuyokupewa uhuru wa kushambulia na kupewa majukumu ya kukaba zaidi.

Mtazame Timu ya Taifa anakokutana na Mfumo wenye kumpa Uhuru wa kushambulia amekuwa ndiye mfungaji wao bora.
 
Mkuu gini wa liverpool anafanya majukumu tofauti na anayofanya netherland kwa liver yuko defensive minded zaidi. Ukitaka umuone the real gini wa netherland bac majukumu aliyokuwa nayo henderson angepewa yeye uone shuhuli yake

Nadhani hapa ndipo ilipo shida yake kutokumuangalia GINI anachezeshwa vipi ndani ya Liverpool.
 
IMG-20191121-WA0003.jpeg
 
Sa mtu unampa mkataba wa kumlipa 10ml af unamuongeza miaka kama 3 mbele ndo nn
Si unyonyaji huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom