Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
????issue hi Inazid kuwaka moto mitandaoniView attachment 1258270
Labda amalize mkataba aje kwa Free agent! Venginevyo sioni Liverpool ikitoa €250m kwa just Mbappe.
€150m will be fine
????issue hi Inazid kuwaka moto mitandaoniView attachment 1258270
£250m wow can't see this happening...
Unless we sell Salah for £200 to Real...
Tricky though Real are also interested and Zizou factor might bend this boy there..
Na kwa nini Fabinho anatengeneza nafasi nyingi kuliko Gini?Mkuu naona umekomaa na GINI?
Elewa hivi! Sio kwamba sisi hapa tunamuona GINI ni Messi! But kwenye kikosi chetu kuna baadhi ya Positions tuna mchezaji mmoja mmoja tu! Kwa mfano:-
LB tuna Robbo pekee
RB tuna TAA pekee
LW tuna Mane pekee
RW tuna Salah pekee
DM tuna Fabinho pekee
CM tuna GINI pekee
Sehmu tulizokuwa tuna angalau mbadala ni:-
AM tuna Hendo na OX
CB tuna VVD, MATIP, GOMEZ na LOVREN.
FW tuna Bobby na Origi
GK tuna Alison na Adrian
Kwanini sikuwaeka hawa Lallana, Keita, Xhaqiri na Milner?
Lallana simuhesabu kuwa ni mchezaji
Keita ni injury prone kwahiyo kabla ya kupona vizuri anarudi tena kwenye injury! So, ni vigumu kurejea kwenye ubora wake.
Xhaqiri hayupo kwenye mipango ya Klopp
Milner kutokana na umri wake 34yrs ni Backup player tu.
Sasa Mkuu katika positions hizo zenye Mchezaji mmoja tu hata ulalamike basi Klopp hana la kufanya ndiyomana humu wengi wetu tunamlilia Hendo na Lovren tu kwasababu Mbadala wa hawa yupo.
Hendo vs OX
Lovren vs Matip and Gomez
Lakini GINI kuanza ni Lazima kwa sababu hana mbadala.
Tuliyemtegemea kucheza position ya GINI ni Keita tu, Lakini kwasasa kumchezesha Keita ni kujirisk kwa baada ya mechi 2 tu tutamrudisha Wodini. Tusubiri apone kwanza.
Ni sawa na wanaomponda Salah! Hata aharibu kiasi gani bado ataendelea kucheza tu coz hakuna mbadala wa kumueka benchi.
Kwahiyo kwasasa tuendelee na GINI wetu tu.
Hapo ipo shidaNa kwa nini Fabinho anatengeneza nafasi nyingi kuliko Gini?
Hahaha kabisa Nike huwa hawashindwi na ndogo mauzo na ana potential hivyo kibiashara imekaa powa zaidi kwao...Nike wakija watulipie tu huyo dogo aje tuchangamshe uwanja
Na kwa nini Fabinho anatengeneza nafasi nyingi kuliko Gini?
Katika hii comment yako Hapo mwishoni umeshaconclude mwenyewe tayari kuwa Gini uwezo mdogoSiwezi kujibu swali lako unless uniletee stats za mlinganisho kwa wote wawili.
Kwasababu sina haki ya kuhoji au kujadili mawazo ya Mtu bali najadili stats kwani ndiyo zinazosema kweli nani anatengeneza nafasi nyingi kuliko mwenzake.
Pia zingatia kuwa uwezo wa Fabinho ni Mkubwa kuliko GINI kwa nafasi anayocheza Fabinho
Kwavile umetumia neno 'inaweza' basi hakuna shida coz umeongelea neno only possibility na sio guarantee
Maneno yatakua hayohayo tu inaweza, kama wakikutana, na blah blah nyingi tu lakini mwisho wa siku tunasonga mbele.
Hivi DJ hana pace?
Hahaha usifanye maisha kuwa magumu broUsijinizane nae mkaushie, hata aliandika la kukukera we pita tu.




Ile kusema ukweli Kepa angechonoa japo kwa mbinde sana ..Kwahiyo ile header unazani kepa angedaka?



Sasa kepa magoli anayofungwa unadhani Allison ndo atabaki salama? Angalia lile goli la Zuyech wa Ajax ..kipa gani angedaka pale ..Kipa anaefungwa goli moja kwa mechi kashuka kiwango ila anaepigwa nne kiwango hakijashuka



HahahahaBange ni mbaya sana, yani nimejikuta nacheka tu baada ya kukutana na post ya huyu mwehu![]()




mkuu bange ni dawa ujui...!!Hahaha ma fans kama nyie kwenye maisha kuwa mnatoboa sana...Ollachuga Oc ni mtu wa utani. Afu pia ana mahaba na reds japo hasemi. Kule kwao hashindi, kijiwe chake ni hapa.
Ni mtani wake King Ngwaba. Anapenda utani. Msimtenge
Hahaha hii Man u sio timu ya kuipa ushindi kabisa ..leo wako moto kesho wako baridi ...ni bora wachague moja ..kuwa moto kama Chelsea au kuwa baridi kama Arsenal ya ndugu yangu Duly Jr ..najua uko alipo anajilaumu kuwa fans wa arsenalUkitaka kuujua utani wa Ollachuga mtazame akidundwa tu, Atapita nyuzi zote kutangaza kuwa hakuna wa kuifunga Timu iliyomdunda yeye!
Lakini chakushangaza kapigwa 4 na Manure, Akapigwa tena 2 na Manure lakini hakuwahi kutangaza kuwa hakuna wa Kumfunga Manure bali hata Manure acheze na Biashara United ataishia kusema Manure anafungwa.



Ndio maana tulikupiga darajani wewe, hivi nyie mnaoliwa na man u pande zote mtamtisha nani?Sasa kepa magoli anayofungwa unadhani Allison ndo atabaki salama? Angalia lile goli la Zuyech wa Ajax ..kipa gani angedaka pale ..
Kepa clean sheet 3
Allison clean sheet 0
Kila la kheri Chelsea![]()
Uza Mane Salah, Allison na VVD ndo upate ela ya kumnunua uyu dgo.????issue hi Inazid kuwaka moto mitandaoniView attachment 1258270
Walishindwa nn kuweka hiyo consistency wakatudhalilisha?Na ubaya wa Liverpool strength yao ni rahisi zaidi kuwa exploit na kuitumia kama advantage.
Salzburg , Napoli, Man united, na Aston Villa waliexpose weakness ya Liverpool kiasi kwamba kama wangeweka consistency performance wangeidhalilisha liverpool.
Wakikutana na timu yenye wings zenye pace kubwa inaweza kuwa disaster kwa liverpool
Inaelekea zote hazikuwa na pace mpaka kule UEFANi vizuri ungeitaja Hiyo timu yenye wings zenye pace kubwa.tuijue .
Kama ingekuwa rahisi hivyo Liverpool kufungika,mpaka sasa kwenye ligi kafungwa mechi ngapi? Au wewe ndio unaona sana kuwa shinda makocha wote wa epl waliofungwa na Liverpool mpaka sasa?
Liverpool msimu uliopita kafungwa mechi 1 tu na man city pale etihad.timu zingine zimeshindwa kuchukua point 3 kwa Liverpool.
Usijidanganye liverpool wako vizuri,ndio timu iliyoruhusu magoli machache mpaka saizi kwenye epl.unafikiri ni kitu rahisi?
