DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Alisikika mlevi mmoja...Mungu ibariki man city
Ipunguze gepu ili wanaume tusipate shida sana kukaa namba moja
Alisikika mlevi mmoja...Mungu ibariki man city
Ipunguze gepu ili wanaume tusipate shida sana kukaa namba moja
Bado 1
Kipindi cha pili tuongeze mashambulizi coz Man City wanakabiwa juu.
Ukiwakabia chini basi wanakumaliza
Kisu mfupani....huhuhu le capitiano atakuweka katika mstari tu,Niache Unafiki Hongera Henderson





YWNWAUkweli wachezaji wa LIVER wamechoka wametumika sana.
I love liverpool
So much
hujawahi niangusha mgosi..... hehehe!
Kweli ndo mana wameshinda.Ukweli wachezaji wa LIVER wamechoka wametumika sana.
Hahaha mkuu one for the road ipoooLabda moja ya ulevi