Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,398
- 17,791
Roho inanidunda sana, sijui kwa nini? Tukipata sare kwangu ni bonus.
YNWA
YNWA
Mkuu ni mapema Sana ligi bado mbichi aisee...Roho inanidunda sana, sijui kwa nini? Tukipata sare kwangu ni bonus.
YNWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vchekeshoLeo mnagongwa, nyambafu sana,nahao unaodai kuwa ni watoto wanakuja kuchukua nafasi yako soon,jiandae kisaikolojia.
Labda moja ya uleviMungu ibariki man city
Ipunguze gepu ili wanaume tusipate shida sana kukaa namba moja