Kwa form ya Gomez aliyonapyo kwa sasa acha mjomba aanze tu.lovrn na hendo dimbani![]()
Mkuu nimeku quote makusudi kuna Gif flan klopp Kama anatoka uwanjani na vvd na wij halafu Kama anamuonesha guadiora uwanjani juu wanampungia mkono unaweza kuiweka humu!!? Nina uhakika na ushindi leoMkuu hiyo mechi mimi hainipi pressure kabisa ,mechi tunashinda hiyo.
Ingekuwa etihad pale sawa ningekuwa na wasiwasi,hao wakijitahidi hapo anfield ni droo.
Man city hawako vizuri ,tuache kukalili.hii mechi ya leo ni muhimu sana sana kwa sisi kushinda,so tutacheza vizuri sana tushinde .
Najua ewew ndio mkali wa hizo kaziMkuu hiyo mechi mimi hainipi pressure kabisa ,mechi tunashinda hiyo.
Ingekuwa etihad pale sawa ningekuwa na wasiwasi,hao wakijitahidi hapo anfield ni droo.
Man city hawako vizuri ,tuache kukalili.hii mechi ya leo ni muhimu sana sana kwa sisi kushinda,so tutacheza vizuri sana tushinde .
Can see the mids ni Klopp favourite...PEP is very coward When its become the matter of LFC +KLOPP
Mkuu atmosphere ya Anfield can send chills to every team and Manager out there...PEP is very coward When its become the matter of LFC +KLOPP
Let us wait
Hendo will stabilize![]()
Haha na iwe hivyo ndugu...Mr stabilizer, anaweza akatufunga mdomo Leo atascore la ushindi.