Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Ukumbusho mzuri sana huu
Ni vizuri ungeitaja Hiyo timu yenye wings zenye pace kubwa.tuijue .
Kama ingekuwa rahisi hivyo Liverpool kufungika,mpaka sasa kwenye ligi kafungwa mechi ngapi? Au wewe ndio unaona sana kuwa shinda makocha wote wa epl waliofungwa na Liverpool mpaka sasa?
Liverpool msimu uliopita kafungwa mechi 1 tu na man city pale etihad.timu zingine zimeshindwa kuchukua point 3 kwa Liverpool.
Usijidanganye liverpool wako vizuri,ndio timu iliyoruhusu magoli machache mpaka saizi kwenye epl.unafikiri ni kitu rahisi?


