Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yaaani ndogo kipaji kipo Sana tu ishu je ataweza kukaa mbali na meza ya madaktari...

Japo kuwakalisha nchi inampa faraja kubwa sana itabidi ifike mahala aamue moja kama Matip ili kurudisha kiwango na pia kujiweka sawa na mbali na majereha...

Duh sitarajii ifike Kwa Sanogo.. .
Mkuu Yani mi nikimuona keita uwanjani tu nawaza mda wowote anaumia ...Kuna game sijui ilikuwa ya Barca ile alinihuzunisha sana Yani mpaka nikasema life sio fair katoka majeruh karud majeruh ... solution ni kuangalia chanzo ndo ataepuka la sivyo mi sidhani injury nazo naona Kama zinazoea watu kama sturridge/lallana/clyne walivyoanza na mainjury ndo wakapotea ..wakarud Kama wanaamza upya vile..
 
Sterling seems his scoring 'gods' humuacha apambane mwenyewe vs Reds maana hua hanaga bahati ya kutufunga especially at Kops...

Ishu ni KDB and Aguero hao bana akikucheza the best self proclaimed CB in the world tumeumia...
Duh Kdb kumbe atakwepo ni shida...aguero anatupaniaga sijui alinyimwa fomu ya usajil alipokuwa chini huko yani sielewi....yote kwa yote sterling !!.
 
Mkuu Yani mi nikimuona keita uwanjani tu nawaza mda wowote anaumia ...Kuna game sijui ilikuwa ya Barca ile alinihuzunisha sana Yani mpaka nikasema life sio fair katoka majeruh karud majeruh ... solution ni kuangalia chanzo ndo ataepuka la sivyo mi sidhani injury nazo naona Kama zinazoea watu kama sturridge/lallana/clyne walivyoanza na mainjury ndo wakapotea ..wakarud Kama wanaamza upya vile..
Yaaani kaka Naby anatia huruma aisee nakumbuka a hata Misri ni kama alicheza akiwa hajapona vizuri mpaka anakuja kuumia alikua ameshaonyesha dalili za maumivu au kuchoka ajabu bado aliedelea kucheza mpaka pale ambapo aliumia Kiukweli...

Bado nafasi ipo ya kuokoa kipaji na career yake..

Inahitaji ifinyike jitihada za Pamoja kuanzia timu ya Taifa mpaka Liverpool hapo sasa ndio ataweza kunamage kukaa fit aisee
 
Duh Kdb kumbe atakwepo ni shida...aguero anatupaniaga sijui alinyimwa fomu ya usajil alipokuwa chini huko yani sielewi....yote kwa yote sterling !!.
Hahaha Aguero bana jamaa ni the best finisher EPL...

Yeye ni fan wa Liverpool kind of but yupo kikazi zaidi...

Sterling bana sijui hua na papara lol maana hanaga bahati ya kutufunga na ibakie hivyo hivyo..

Real wanamnyemelea Kwa ofa murwa Sana 150m+Bale aodoke tu..
 
Diih huku kikosi B kule kikosi A tunaenda kuweka historia ..
mma%20ngO.jpeg
 
Wewe unatafuta sababu uniite mbishi kama kichaka cha kuficha ukosefu wa facts
Wewe unatafuta sababu uniite mbishi kama kichaka cha kuficha ukosefu wa facts kwenye claims zako.

Sijawahi (before) kuona post yoyote yako wala ya Mtu mwengine humu iliyowahi kuyataja hayo majukumu munaosema anapewa Hendo.

Angalau ungeweka Bandiko la Pundit ambaye ni Neutral basi ningeweza kusoma japo Headline! Lakini unaniletea Article ya Brexit?????? Petre Crouch???? Never!!! Sins muda wa kupoteza kusoma Article za Brexi kwa wachezaji wao.


Swala la msingi halijajibiwa lipo palepale!

'Je ni majukumu gani hayo tunayoambiwa ni maalum anayopewa Hendo?'

Nafikiri point ya msingi ingekuwa hukubaliana na na alichokiandika crouch kwa sababu hakifanywi na hendo na siyo issue za brexit...


Nimekuelewa mkuu.
 
Diiih ed ,edd n Eddy diih umenikumbusha utotoni..
Sema nini mi naona watakaonza leo ndo watakaoanza game ya city maana zote muhimu..ila leo baadhi hawataachwa wamalize dk 90 tutegemee origi kuanza ..(na ingekuwa poa ikiwa inabidi mane asimalize nguvu zote achezeshwa dk 70 apumzishwe pep kashapata kitete naye- silaha muhimu)#YNWA.

My favorite cartoon

Wacha tusubiri siku yenyewe kikubwa muhimu ni 3pts tu
 
There is something about Gini vs Manciiti the boy comes alive and lively..

Oflate he is a bit off his normal game..

But his name will be the 1st name Klopp calls vs Citizens,...

As long as I don't see Hendo or Lallana am at peace but knowing Klopp I doubt Chambo will challenge to start.. He might be the wild card just like vs Ganaz or vs Villas..

Sure ..... Ox better come from bench to speed up the game

Lallana at Sunday, I pray he'll be at church
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom