Umetuwakilisha vyema Sammata asanteeeLeo kuna come back apa..
Kila la kheri Samatta..
Maliza matatzo na keppa wenu kwanza ndo uje hapa jukwaaniUmetuwakilisha vyema Sammata asanteee
Samata anamfunga adi Allison Kila bora kabisa. Mimi nilitegemea leo mngeshinda nane..Maliza matatzo na keppa wenu kwanza ndo uje hapa jukwaani
Samata anamfunga adi Allison Kila bora kabisa. Mimi nilitegemea leo mngeshinda nane..
Ajax si watu wazuri aidha nyumbani au ugenini mandogo wanafaiti Sana...
Kocha Wa Ajax kafuatwa na Ulli Hoenes akawafundishe Bavarians akachomoa..
Daraja limechakazwa 4 hivi hivi
Sasa wewe Genk anakutoa jasho unashinda Mbili na Samara anakutupia moja ...Ajax ungeweza kumfunga?Ajax si watu wazuri aidha nyumbani au ugenini mandogo wanafaiti Sana...
Kocha Wa Ajax kafuatwa na Ulli Hoenes akawafundishe Bavarians akachomoa..
Daraja limechakazwa 4 hivi hivi
Alison na Kepa wanatofauti gani.No cleanshet in 8 games
Omba usikutane Naye ...kama tukiongoza kundi adi mwisho kuna hatihati ya kukutana naye.Mkuu hivi mpo ugenini au darajani...
Ajax si watu wema UCL
Ajax ni kawaisa alifanya ivyo kwa Juve, Madirid ..unashinda kwake unashinda kwako tena nyingi tu ...Hahahaha na tena Ajax wamefanya hayo bila mashabiki Kwa vile mashabiki wao hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya Leo..
Noma sanaaa nyumbani kukomaliwa vilee
Mambo gani hayaendi?Bila mbeleko mambo yenu hayaendi
Samata anamfunga adi Allison Kila bora kabisa. Mimi nilitegemea leo mngeshinda nane..
Wewe nawe huna unalojua, unafikri wale watoto wangepangiwa timu wangepumua? Akili ya Klopp iko Jumapili! Shukuruni sana ile mbereko mlikuwa mmefia home!Sasa wewe Genk anakutoa jasho unashinda Mbili na Samara anakutupia moja ...Ajax ungeweza kumfunga?
Tuseme tu ukweli ..kundi lenu ni mbeleko zaidi kuliko..
Mkuu Ollachuga Oc wewe ulitia nanga kwetu ukisema tunafungwo huku wewe mwenyewe ukipumulia mashini...Ajax ni kawaisa alifanya ivyo kwa Juve, Madirid ..unashinda kwake unashinda kwako tena nyingi tu ...
Zile reds usiseme walionewa.. Mtu kadaka makusudi kaonewa?kacheza rafu uko na ana njano kaonewa?
Tukishavuka makundi Mkuu hua sisi ni kupiga tu hatuna namna mpaka fainali twafika...Omba usikutane Naye ...kama tukiongoza kundi adi mwisho kuna hatihati ya kukutana naye.
Asante Samatta..
Hakuna Timu inayoshiriki UCL kimeo ndugu..Sasa wewe Genk anakutoa jasho unashinda Mbili na Samara anakutupia moja ...Ajax ungeweza kumfunga?
Tuseme tu ukweli ..kundi lenu ni mbeleko zaidi kuliko..
Jamaa ni noma aisee bado wakiwa pungufu wamekomaa na kutoa draw...Wakiwa ugenini ndio watu hatari sana kuliko wakiwa nyumbani