Kwa City ukijilinda basi kakupiga 6
Yani upange viungo wanaocheza mbele ya box lako wasioshambulia??
Nakuhakikishia Kuanzia KDB, Guandogan, Bernardo, Sterling, Aguero and c.o wote watahamia kwenye box letu kutushambulia.
Ili City uwaweze ni lazima uwakabie juu kwa kuwashambulia mwanzo mwisho! Yani uwachezee kwenye Half yao tu nje kidogo ya Box lao huku ukiingia ndani ya 18 yao mara kwa mara ili uwaforce mido za kina KDB zirudi nyuma zisiweze kutengeneza mashambulizi! Kiufupi tuwachezee kama tulivyowachezesha mwaka Juzi kwenye CL tukawapiga nje ndani.
Na Mtu wa kuwafanya hivyo basi tunahitaji kiungo kama OX ambaye anaweza kukabia juu kwa kwa kupress kwenye Half yao pamona na kuwalisha front 3.