AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,140
Front 3 lazima waanze vs cityMiddle itakayoanza leo itatoa picha nan ataanza kwenye game ya city. Yaan mtu akikaa bench leo kuna uwezekano wa mkubwa kwake kuanza game ya City with exception of fabinho
Hendo ma fabinho lazima waanze
Kwa gini pale ndo may be anaweza kuanza keita au milner
Back 4 itakuwa ileile unless majeruhi yatokee.
Leo OX nadhani ataanza na Keita kati pale na fabinho
..