Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kila mchezaji ana part yake uwanjani. Kwahiyo mtu anataka kusema the whole 90mntz hendo hana kazi uwanjani. Kwahiyo kwamba timu yetu ni nzuri sana kiasi kwamba tunashinda na watu 10 uwanjani kila mechi?
Tena ni bora hendo kuna vitu utaviona uwanjani kuliko gini. Sema watu wana chuki sana ma hendo kiasi kwamba jata afanyeje watamponda na hawataki hata afunge goli maana atasifiwa na watu wengine.
But tupo nae mpk 2022 kloop akisepa. Nae ndo atasepa Unless aamue mwenyewe kuondoka.
Wataka kuniambia Kloop anampanga hendo b4 chambo sababu hendo ni Captain?? Plzzz Unadharau Uwezo wa Kocha. Hendo ana uzuri wake unaweza usiwe 100% but unatosha kuchangia pale inapombidi

Umenifrahisha mzee
Ila kila mtu ana part yake
Formation tunayocheza firmino ni kama CAM na striker kwa pamoja
Ko mamidle wengine ni mamidle tu
 
Kila mchezaji ana part yake uwanjani. Kwahiyo mtu anataka kusema the whole 90mntz hendo hana kazi uwanjani. Kwahiyo kwamba timu yetu ni nzuri sana kiasi kwamba tunashinda na watu 10 uwanjani kila mechi?
Tena ni bora hendo kuna vitu utaviona uwanjani kuliko gini. Sema watu wana chuki sana ma hendo kiasi kwamba jata afanyeje watamponda na hawataki hata afunge goli maana atasifiwa na watu wengine.
But tupo nae mpk 2022 kloop akisepa. Nae ndo atasepa Unless aamue mwenyewe kuondoka.
Wataka kuniambia Kloop anampanga hendo b4 chambo sababu hendo ni Captain?? Plzzz Unadharau Uwezo wa Kocha. Hendo ana uzuri wake unaweza usiwe 100% but unatosha kuchangia pale inapombidi

Tunarudi palepale!!!!

√ Ni vitu gani hivyo????

Mbona watetezi wa Hendo munaishia tu kusema 'Ana Majukumu uwanjani' .... 'Ana vitu uwanjani'.... Sasa si twambieni tu hivyo vitu tuvijue!!!!!
 
Pep’s mind game won’t work this time as Klopp replied ‘is pep talking about technical foul too’?
Very good jab!
Klopp kafanya mapinduzi makubwa team hii,nina imani nae sana
 
Game yetu vs Man City tunahitaji Mido hii

Milner - Fabi - OX

Fabi automatically ni DM

Milner ashirikiane kwa karibu na Fabi kulinda back line but his main role iwe ni kucover FBs pale zinapopandisha mashambulizi.

OX kama kawaida yake atengeneze mashambulizi na kupiga zile shuti zake maridadi kabisa.
 
Hamna bro
Itaaribu jina lake na kuharibu timu
Atatujazia michezaj ya England kama yote
Ata Dalglish alikuwa kipenz cha liverpool ila aliharibu kama kocha
Kupenda timu haimaanishi utaleta mafanikio
Ni kama mourinho slivyoipenda man united ila hakuifanya la maana
Mkuu sio kwamba baada Babu Fergie ni mourhino ndio amefanya makubwa hapo man United...makombe 3
 
Game yetu vs Man City tunahitaji Mido hii

Milner - Fabi - OX

Fabi automatically ni DM

Milner ashirikiane kwa karibu na Fabi kulinda back line but his main role iwe ni kucover FBs pale zinapopandisha mashambulizi.

OX kama kawaida yake atengeneze mashambulizi na kupiga zile shuti zake maridadi kabisa.
Yaan AM ni kunakila sababu aanze OX maan ndo huwa mbaya wao city mara nying . 3 front yet hiyo siku ndo itamaliza game naamin maan bado sioni mtu sahih wa kuwasimamisha pale mbele, Fab3 anayonguvu ya kutosha kama DM, ila nikiwaza kuhusu ataepangwa pale CM kipanda uso kinanikamata aise
 
Keita lol kazi ipo...

Liverpool midfielder Naby Keita has returned to the Guinea squad after he missed their friendly internationals against Comoros and Chile last month.

The 24-year old is among 23 players selected by coach Didier Six for the Syli Nationale's upcoming Africa Cup of Nations qualifiers against Mali and Namibia.

Guinea will face Mali in Bamako on 14 November before hosting Namibia three days later in Conakry.
Keita asipoumia tena sijui...anahuzunisha yani na injury zinakuwa nyingi kama yaya sanogo wa arsenal ya Wenger mwishowe atasahaulika kama Nathaniel.
 
IMG_6569.JPG
 
Game yetu vs Man City tunahitaji Mido hii

Milner - Fabi - OX

Fabi automatically ni DM

Milner ashirikiane kwa karibu na Fabi kulinda back line but his main role iwe ni kucover FBs pale zinapopandisha mashambulizi.

OX kama kawaida yake atengeneze mashambulizi na kupiga zile shuti zake maridadi kabisa.

I prefer

Gin-Milner-Faby
 
Middle itakayoanza leo itatoa picha nan ataanza kwenye game ya city. Yaan mtu akikaa bench leo kuna uwezekano wa mkubwa kwake kuanza game ya City with exception of fabinho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom