Mfatiliaji
Senior Member
- Mar 17, 2011
- 118
- 63
nafikiri wewe ndo unashindwa kuyaelewa majukumu ya hendo au unalazimisha majukumu yawe unayoyataka wewe.Nikuulize swali unasema hendo anacheza kama kuunganisha kati ya kiungo na front 3,je umeshawahi kumwona hendo yupo upande wa kushoto wa ushambuliaji? na je umemuona Gini mara ngapi upande wa kulia wa ushambuliaji???kaka wale ni proffessional players na wanapewa majukumu na kocha kwenda ku-excute kocha apendavyo ndo maana bado wanapangwa na kwa bahati nzuri tunaongoza ligi.Gini anachezeshwa nyuma ya Hendo i.e. katikati (CM) akisaidia kukaba zaidi kuliki kushambulia coz klopp ameshambatiza Kuwa defensive minded.
But Hendo kimkakati alipaswa Kuwa na ststs bora kuliko Gini au Mido yeyote ile ya Liverpool kwani anachezeshwa kwenye more advanced role (Namba 8) ambaye analink kati ya Gini-Fabi na Front 3.
But due to his weak football skills anashindwa kuyaelewa majukumu yake.
Nakubaliana na wewe Kuwa Gini ni average player! But hatuna replacement kwasasa kwani mbadala wake pekee aliyepo kwenye bench ni Keita ambaye pia hasomeki kwani ana miguu ya vigae.
mbadala wa Henderson pekee aliyepo kwenye bench ni OX
kwa kuongezea tu anayefanya link up play kwenye mfumo wetu ni firmino ndo anacheza between the lines,thats salah na mane huwa wanaingia ndani kuexploit gape aliloliacha bobby...mbona mpira upo wazi kabisa na kila siku tunaona hivi jaman..duh.
