Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Naringanisha kabisa scholes Hana tofauti na hendo
Mkuu unajishushia Heshima unayoekewa hapa JF.
Please nakushauri huu mjadala bora tuuwache utatujengea picha mbaya kama washabiki wa Liverpool kuonekana sote hamna kotu.
PS 8 & Hendo EPLPAUL SCHOLES
(In all competitions)
AT CLUB LEVEL
• Appearance 706
• Goals 150
• Assists 72
CUPS
• EPL 11
• CL 2
• FA 4
• Carabao 3
• Club World Cup 1
AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)
• Appearance 66
• Goals 14
Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.
Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
Ok mi nachotetea Hendo na scholes wore ni average player sikuona maajabu ya scholes Zaid ya team work kumbeba Kama anavyobebwa Hendo na team Hilo tu nafunga mjadala. Asante.Mkuu unajishushia Heshima unayoekewa hapa JF.
Please nakushauri huu mjadala bora tuuwache utatujengea picha mbaya kama washabiki wa Liverpool kuonekana sote hamna kitu.
Pengine ameingia kwenye kundi la wanaojiita LIVERPOOL HALISI
Binafsi hat hyo carabao cup naona inatuongezea injury TU we have to focus on EPLLiverpool wametishia kujiodoa Carabao endapo ratiba ya nane bora haitazingatia uwepo Wa ratiba kubanana Club World Cup, EPL, UCL, tunategemea tarehe ziwe rafiki kwetu..
CARABAO CUP twakutana na Aston Villa
Nadhani leo gini adrop Dm yaan Gini,hendo,Ox maan fabinho ndo mtu sahihi kukata upepo wa zile mldifield za citizen na Kasi zao hvyo Fab leo ale upepo njeFabinho akipata yellow card dhidi ya Aston villa atakosa mechi ya City maana itakuwa kapata yellow 5. Na kwa kazi yake kupata yellow ni kitu cha kawaida.
Je klopp atamuweka benchi aweke mido ya milner gini na henderson au atamuweka na kurisk kucheza hiyo mido dhidi ya City.
Uwezekano uliopo Kwa sasa Carabao ni kuwa na vikosi viwili kimoja kitacheza World Club Cup na kingine kitacheza Carabao hii ndio njia pekee kuweza kushiriki mashindano yote bila kuadhiri wachezaji Wa timu A...Binafsi hat hyo carabao cup naona inatuongezea injury TU we have to focus on EPL
Nadhani leo gini adrop Dm yaan Gini,hendo,Ox maan fabinho ndo mtu sahihi kukata upepo wa zile mldifield za citizen na Kasi zao hvyo Fab leo ale upepo nje
Nb: KLOPP ASIJE MRUDISHA HENDO DM MAANA TUTAUWAWAA
Mkuu ngwaba usipende kumquote kila mtu Hawa wengine mpira wameujua kipind hik Cha kina KLOPP Sasa mtu anafikis hatua ya kumlinganisha hendo na scholes wakat scholes ni level ya kina SG , mtu kama huyo hatoshindwa kukwambia hendo tyr kamzid SGPAUL SCHOLES
(In all competitions)
AT CLUB LEVEL
• Appearance 706
• Goals 150
• Assists 72
CUPS
• EPL 11
• CL 2
• FA 4
• Carabao 3
• Club World Cup 1
AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)
• Appearance 66
• Goals 14
Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.
Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
Sahih kbs Mkuu ila kule carabao awe anacheza milner na lallana pamoja na Orig tu lkn Ox,keita, wasipelekwe kule kbs maan mwak huu naona kila dalili ya kutinga hatua nzur UCL maan timu nying za European still ni uchafu TU yaan tunakila sababu ya kulisogelea tena kombe la UCL so we have to strengthen our squared by avoiding to include some of our players in trash and shit compitation like carabao ,but all in all EPLfor us is Still unanswered cryUwezekano uliopo Kwa sasa Carabao ni kuwa na vikosi viwili kimoja kitacheza World Club Cup na kingine kitacheza Carabao hii ndio njia pekee kuweza kushiriki mashindano yote bila kuadhiri wachezaji Wa timu A...
Hii itakua powa Sana maana hawa wachezaji Wa akiba wanahitajia hizi mickey mouse cups...
Sikupingi, najua ni umbali gani tulitoka pamoja na liverpool hii ndani ya jukwaa hili tangu enzi za kina Lambert. Lakini umekuw ukitumia nguvu kubwa sana kupinga maoni ya wengine kiasi ya kwamba hadi unawagawa kwa mafungu. Kama ilivyo kwako ukitaka maoni yako yaheshimiwe, kwanini usifanye hivyo kwa maoni ya wengine? Wewe unamuelewa Klopp akimchezesha Henderson na wengine hawamuelewi kwanini usikubaliane nao?
Lakini kurudia rudia kauli zilizopita ili tu kujionyesha uko sahihi hapo ndipo naposema gubu lenyewe. Hivi Klopp hakosei? Hatakiwi kukosolewa? Ifikie mahali kila mmoja aheshimu maamuzi ya mwengine hata kama hukubaliani nayo, hapo ndio tunapata mjadala. Sasa tukikubaliana kwa kila kitu huo utakuwa mjadala kweli?
Na hapa mawenge yako yameonekana tena as usualWewe unajua soka kuliko Klopp na Southgate?
Absolute trash
Nimeeahi mpinga hapa Klopp mara kadhaa
Mfano kumng'ang'ania Coutihno alipo mua kwenda Barca
Mfano mkopo wa Clyne na mkopo wa Origi kwenda Germany
LKN siwezi mpinga Klopp kwenye mambo ya kitaalam ya nani acheze nani asicheze sababu ni Klopp anakaa muda wote na hawa wachezaji!
Hawa waliisha andika hapa kama Barca na Liverpool ukichanganya hamna mchezaji yyt wa Liverpool atacheza,Lkn team yao bora kabisa Barca tukaitoa!
Waliandika hapa Klopp hawezi shinda final,sasa kashinda finals mbili kubwa back to back.
Naomba ungana na Liverpool halisi tunao kosoa kwa haki achana na hawa mamluki
PAUL SCHOLES
(In all competitions)
AT CLUB LEVEL
• Appearance 706
• Goals 150
• Assists 72
CUPS
• EPL 11
• CL 2
• FA 4
• Carabao 3
• Club World Cup 1
AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)
• Appearance 66
• Goals 14
Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.
Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
Usije jikuta we ndo umejua mpira kipindi hichi huwezi mjudge mtu kama humjui ...mi nimeweka msimamo wangu scholes alikuwa average player kama alivyo Hendo wote wanabebwa na timu ..Mku
Mkuu ngwaba usipende kumquote kila mtu Hawa wengine mpira wameujua kipind hik Cha kina KLOPP Sasa mtu anafikis hatua ya kumlinganisha hendo na scholes wakat scholes ni level ya kina SG , mtu kama huyo hatoshindwa kukwambia hendo tyr kamzid SG
Ok mi nachotetea Hendo na scholes wore ni average player sikuona maajabu ya scholes Zaid ya team work kumbeba Kama anavyobebwa Hendo na team Hilo tu nafunga mjadala. Asante.
Brother sisi sote ni liverpool na naelewa tunapaswa kusapoti wachezaji wote wanaoitumikia club,ila ni ukweli usiofichika henderson ni weak link kwa upande wetu hasa kwenye midfieldUsije jikuta we ndo umejua mpira kipindi hichi huwezi mjudge mtu kama humjui ...mi nimeweka msimamo wangu scholes alikuwa average player kama alivyo Hendo wote wanabebwa na timu ..
Uangaliage na majukumu anayopewa hendo na anatimiza kwa asilimia ngap!? Unataka nijudge mimi wakati kocha wako anamuanzisha mara kwa mara ina maana anafanya kazi kocha anayoitaka afanye ...mi wala sijawahi mkubali Hendo zaidi ya kumtetea maana ukimtoa faby nani anaweza kutusaidia kukaba bas hata at least midfielder gani ianze....
Mpira ni burudani si kujifanya unajua Sana zaidi ya mwenzako hakuna anayelipwa hapa si wote tunaenjoy tu....so take it easy sio vita
Mkuu ilikuwaje man utd 2012 Babu scholes alivyostaafu na miezi 6 timu inafanya vibaya na man city akaenda hadi kileleni ila alivyorudi babu kutoka kustaafu na timu ikakaa vizuri?Ok mi nachotetea Hendo na scholes wore ni average player sikuona maajabu ya scholes Zaid ya team work kumbeba Kama anavyobebwa Hendo na team Hilo tu nafunga mjadala. Asante.
Hata sijakuelewa umeandika Nini mkuu maan kila kipengele umelamba na kuacha so nijibu hoja ipi hapo ,uwezo was hendo kukaba??role anayopewa hendo?? Mim kujikuta najua mpira??(ingawa sijasema mim najua) au mim kutoa mawazo yangu siruhusiwi hapaUsije jikuta we ndo umejua mpira kipindi hichi huwezi mjudge mtu kama humjui ...mi nimeweka msimamo wangu scholes alikuwa average player kama alivyo Hendo wote wanabebwa na timu ..
Uangaliage na majukumu anayopewa hendo na anatimiza kwa asilimia ngap!? Unataka nijudge mimi wakati kocha wako anamuanzisha mara kwa mara ina maana anafanya kazi kocha anayoitaka afanye ...mi wala sijawahi mkubali Hendo zaidi ya kumtetea maana ukimtoa faby nani anaweza kutusaidia kukaba bas hata at least midfielder gani ianze....
Mpira ni burudani si kujifanya unajua Sana zaidi ya mwenzako hakuna anayelipwa hapa si wote tunaenjoy tu....so take it easy sio vita
Kwa hili la Hendo kuna watu nikiwaeleza kama ulivyoeleza huwa hawaelewi mpaka najiuliza kwa ubishi wao walipataje kumaliza hata LA saba😂😂WAPUUZE,hawajui lolote
FA imemteua Hendo kuwania tuzo ya mchezaji bora wa EPL Oktoba 2019
Mtu yupo kwake Kibangu anaona yy anajua kuliko FA
Lkn mtu yupo kwake Sumbawanga huko anaona yy anajua kuliko KLOPP
Anaona yy anajua kuliko Southgate anayempa Hendo kila game
Mkuu wapuuze tu hawajui lolote na ndiyo wale watu wasio jua kitu lkn wanajiona wanajua
Hendo ni chaguo la kwanza la Klopp na team ya taifa,na itabaki kuwa hivyo