Watery
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 2,729
- 3,498
Henderson hakuwahi kumzibia TAA nafasi yake hata siku moja na ndiyomana unashindwa kutoa mifano ya Matukio kwa Mechi kadhaa kuhusu Henderson Kumzibia TAA nafasi Yake pale anapopandisha Timu kushambulia.
Siku zote Mtu anayeshindwa kudifend anachokiamini huishia hivi kusema habishani kipumbavu.
Deep down nilijua tu nabishana kijinga na ww





