Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,570
Sasahivi Watetezi wa Hendo wanatafakari tu namna ya kuandika Waraka wa Utetezi yani wanawaza waanzie wapi!
Watakuja na Baadhi ya Hoja hapa kama:-
• Ni Kiongozi uwanjani
• Ni Kiongozi kwenye dressing room
• Anastabilize Timu
• Anakaba
• Anapiga mipasi
• Ana nidhamu
• Anajituma
• Na upumbavu mwengine mwingi tu.
Utaifaa unammbeba


