Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,465
Ndio kama unavyoonaNakumbusha tu ile creative midifield inayoliliwaga hapa Imeanza Leo
Chamberlain katupia mawili , Keita anakichafua humo ndani, Wijnaldum hana kipaji cha kumfikia uwezo Naby Keita Garasa Hendo ndio kabisa hana hadhi ya kuchezea hata midtable teams of EPL


..ila ni kawaida sababu tushazoea 

