Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hakika mkuu, kwa soka la miaka hii na inayokuja mchezaji ambaye hawezi jihakikishia nafasi first 11 hata benchi hastaili. Ukichukulia concept hii kua bench ni back up ya aliyeanza then wa bench inabidi akaribiane na anayeanza.Kuanzia next transfer window tufagie wamatumbi wote for the better of our team
I conquer 110%...
 
Kuna Wafuata upepo humu wameona Makala Echo zinazopropagate kuwa Mido za OX na Keita zinasababisha tufungwe goli kiurahisi basi na wao wamekuja humu na Vipost uchwara Kuwa Mido hizi zisicheze tena eti zinaruhusu kufungwa.
Kwanza tumefungwo moja tukiwa ugenini huku hata mabeki waliocheza upande wa kulia Milner na Lovren wakiwa ni chaguo la 3 Kwa kocha...

Bring us TAA, Matip or Gomez
 
Mkuu mpaka sasa tumegeuka timu ya mihemko eti sikia hii Lallana anaandaliwa mkataba baada ya kufunga OT....

Sijui ni magezati tu ama ndio msimamo Wa timu...

Kama msimamo Wa klabu basi ipo shinda kuu

Rodgers aje TUMPE hata bure Lallana na Hendo, Lovren na Milner
Rodgers mwenyewe haitaji magarasa
 
hawa leicester sio wa kuwachukulia poa wanaweza kufanya walivyofanya msimu wa kwanza walivyopanda daraja inaonekana foward yao inauchu sana na magoli
 
King Ngwaba kaanza kulegea kwa Hendo, hahahaha, dah, si Bora mara elfu abaki Lalana , umehongwa na Le Captain Hendo wewe si bure.
Lovren
Lallana
Karius
Clyne
Hawa waondoke kwa Gharama yoyote ile

√ Milner namkubali lakini Aondoke kwa heshima zote ili kupisha Nafasi kwa Grujic kwani asipoondoka Milner Grujic hatopata nafasi Liverpool

√ Henderson aendelee kubakia kwa Backup kwani OX na Keita muda wowote wanaweza kurudi wodini
 
Milner kiraka kile. Achana nacho kabisa

Kuna Mambo usiangalie Kiraka tu bali angalia na disadvantage zao wawapo kwenye Timu.

Milner ni 34years. Sasa japo ni kiraka lakini uwepo wake unafanya nafasi kuwa Limited kwa baadhi ya Wachezaji! Kwa mfano Grujic 23years ni Mchezaji mzuri lakini anaishia kucheza Ujerumani kwa Mkopo kwa sababu ya Milner na Lallana kuwepo kwenye Timu.

Kwahiyo Milner akiendelea kuepo basi Grujic atadai kuuzwa kwani hatoweza kutoboa ndani ya Liverpool.

Kwahiyo Milner ni Kiraka but kwa Maslahi ya Timu itabidi aondoke ili kupisha nafasi kwa wengine.
 
Aisee hivi mla pili pili ndio shinda ama hana majembe ya kazi ya Kutosha Sana Sana pale defence naona bado panayumba...

Kati pia panakosa kiongozi ila mwendako naona sio kumbaya...

Nyakati kama hizi bora nyie mnaoitafuta big four kuliko wale mashetani weupe kupambana kutoshuka daraja..

Be sure of what you wish...
Mla pilipili ndio mizinguo mkuu,team selection zinamshinda ukichanganya na mabifu ya wachezaji ndio kabisaaaaa....wachezaji wapo wazuri sana ila timu hakuna.....
 
Kwa maslahi ya timu abaki. Hakuna kumpisha timu, team ni kubwa kuliko mchezaji yeyote yule. In the mean time tunamhitaji Milner zaidi kuliko Grujic.
Kuna Mambo usiangalie Kiraka tu bali angalia na disadvantage zao wawapo kwenye Timu.

Milner ni 34years. Sasa japo ni kiraka lakini uwepo wake unafanya nafasi kuwa Limited kwa baadhi ya Wachezaji! Kwa mfano Grujic 23years ni Mchezaji mzuri lakini anaishia kucheza Ujerumani kwa Mkopo kwa sababu ya Milner na Lallana kuwepo kwenye Timu.

Kwahiyo Milner akiendelea kuepo basi Grujic atadai kuuzwa kwani hatoweza kutoboa ndani ya Liverpool.

Kwahiyo Milner ni Kiraka but kwa Maslahi ya Timu itabidi aondoke ili kupisha nafasi kwa wengine.
 
Mla pilipili ndio mizinguo mkuu,team selection zinamshinda ukichanganya na mabifu ya wachezaji ndio kabisaaaaa....wachezaji wapo wazuri sana ila timu hakuna.....
Duh sawa Mkuu huyu mpine angalau misimu mitatu kabla ya kujua kama muachane nae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom