Alaf bado kuna jitu litakuja na makala zake za Hendo sjui ni kiongozi mzuri, sijui yeye kapewa kazi maaluk kabisa na Klopp tofauti na kufunga ku assist sio majukumu yake.

Mara Hendo ndio roho ya team, huyu ndo SG na Alonso wapya kwenye zama hizi, yani full of bullshi**t. Mpaka unataman umpige mtu makofi.


Fabby-Nabyy-OX🔥🔥🔥

Yani Mtu hutumia Mijisamiati kibao ya Kukariri ilimradi tu atuaminishe Kuwa Hendo Mchezaji.
 
Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Hata hendo akotaftiwa mbadala wake nasi pale kati itabd apatikane ambae atakuwa na sifa kama za hendo.

Aisee! Hendo kafanikisha kitu? Then tutafute Mtu mwenye sifa kama za Hendo?

Heri tubakie na Mwenye sifa za OX
 
Yani hizo stats za Oxlade na Keita, bwana Hendo anaweza asizipate msimu mzima.

Kumbuka Kuwa mechi ya Jana tu Chamberlain kafunga goli 2 wakati yule Boya Henderson inamchukuwa Misimu 3 kupata hizo goli 2 kwani Mpaka sasa tuna Michezo 8 ya EPL, 1 Ngao, 1 Super Cup na 3 UCL na hajafunga hata goli la Offside au la VAR.
 
Atakuja mtu na WARAKA MREFU kutueleza mchango wa Hendo. Yani mtu anayetetewa na waraka na sio kazi yake uwanjani. Badala kazi yake ijieleze, ni watu ndo wanatueleza.

Sasahivi Watetezi wa Hendo wanatafakari tu namna ya kuandika Waraka wa Utetezi yani wanawaza waanzie wapi!

Watakuja na Baadhi ya Hoja hapa kama:-

• Ni Kiongozi uwanjani
• Ni Kiongozi kwenye dressing room
• Anastabilize Timu
• Anakaba
• Anapiga mipasi
• Ana nidhamu
• Anajituma
• Na upumbavu mwengine mwingi tu.
 
Sasahivi Watetezi wa Hendo wanatafakari tu namna ya kuandika Waraka wa Utetezi yani wanawaza waanzie wapi!

Watakuja na Baadhi ya Hoja hapa kama:-

• Ni Kiongozi uwanjani
• Ni Kiongozi kwenye dressing room
• Anastabilize Timu
• Anakaba
• Anapiga mipasi
• Ana nidhamu
• Anajituma
• Na upumbavu mwengine mwingi tu.
Sio kuja tu, echo wanasema pengine mid ya jana inaweza isijirudie kwani ilisababisha tukakosa clean sheet, kwakua ipo offensive mpaka inasahau kulinda, imeacha mjadala mkubwa sana mtandaoni watu wakihoji of all 15 games we got 3 clean sheet and the thing to notice is keita faby ox imecheza game moja ya jana tu why watu wanaponda
tena?
 
IMG_6512.JPG
 
Back
Top Bottom