BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,911
- 11,729
Roho hua inaniuma sana huyu jamaa akipigwa benchi afuu mtu kama hendo ndo et kampiga benchi .On my point of view keita naona ni kama man of the match labda kama nilikuwa namuangalia sana yeye kwakuwa ndiye mchezaji ambaye ambaye naona anakipaji cha kuzaliwa kwa liver . Kuna kujituma na kujua . Keita born knows
Naamin hii mids ya fab,keita na Ox ikipewa game nyingi bas sidhan kama kuna mbwa ulaya atakaa aisogelee LFC yetu kiboya boya watakua wana kuja kwa tahadhari zaid ya hiyo wanayokujaga nayao sasa