Ukiangalia kwa umakin game ya mwisho man u na liverpool ile ya 0-0,
Utagundua kabisa klop alishikwa kiaakili, man u walipata maheruhi wa kutosha lakin klop alishindwa kuamua game,
Pale OT kuna natural power inawarinda wale mashetan sio bure, liverpool waliduwa nguvu walikuwa nazo, uwezo walikuwa nao ila walishindwa kuamua, sasa na hii var +referee +man u kushuka chin baada ya kupigwa naona kabisa wakifanya kila jitihada man u kushinda hii game, japo majogoo wanauwezo,
Kuna muda matokeo lazima yapagwe tu

