Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,505
- 7,466
Duniani wenye bahati zaidi wapo aisee... Henderson yumo kwenye hio listi...
Over reliance na 4 3 3 jana imetocost point 2 muhimu na pia over reliance ya front 3 nayo ni shinda..
Jana Bobby haha click kabisa...
Klosi za Trent zilikua useless maana alikua amebanwa na Young muda mwingi aliishia kuzipiga akiwa mbali kabisa na hazikua na madhara yoyote...
Aidha Klopp aweke imani Kwa Chambo, Keita Fabby pale kati au ateme hii 4 3 3 baadhi ya mechi..
Kwenye mfumo wa 4-2-3-1 kiungo anaekuwa nyuma ya lone Striker simuoni zaidi ya Shaqiri na Bobby
4-2-3-1 Double pivot midfield Duo Lazima Milner na Fabinho wahusike