Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Asante sana Lallana kwa kunyamazisha hawa mapimbi(Dumb haters) always u know how to press and when your inform your the best midfielder Adam Lallana
"......when your inform your best midfielder Adam Lallana" hapo ndo nini sasa? Kwa nini usitumie Kiswahili ?
 
Tunaweza kushinda au tusishinde hii game lakini sio sababu ya kuibeza Derby ya Liverpool vs Man United

Mkuu naelewa derby ila kwa hawa man ni hawana chakutuzidi yaani hawawezi kufunga goli mbili mechi moja ,tuogope kisa derby?

Mechi ilikuwa ya ushindi kwa uwanjani man u walivyocheza sijaona mpira wa man u wakutisha kama tulivyocheza na chelsea.
 
Yani leo ndio kila mtu kaona salah hata kama anashindwa kufunga muache tu,klopp yupo sahihi tu kumpanga salah.baada ya mechi hii hakuna ubishi tena

Kuna Watu Watakuja kukupinga hapa watakwambia Salah akae Benchi Origi ni bonge la Mchezaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom