Yule namchukia mpaka keshoHahaha Webb jamani popote alipo shame on him...
Angalau sasa tuna VAR
Sema neno unalotaka kusema, maana ulisema klopp hanaga creative mid ya juu?
Hii picha Haiprove chochote hapa unless wachezaji wakae/wagande bila ya kutembea kama zilivyo hizo image za kwenye picha.

Mkuu huyu ndogo yupo very adaptable ukizingatia alianza kucheza pale academy Midfield kabla hajapelekwa beki wa kulia..Kwa sasa hana nafasi ya kua tested properly kama real winger Kwa vile mfumo huu wetu hauna natural wingers pindi tunaposhambulia kutokana na ukweli kua RB na LB hugeuka ma winger...
Anazo sifa za kua winger na ukiangalia stats zake utaona muda mwingi yeye awepo uwanjani huwa zaidi upande wa Timu pinzani kupeleka mashambulizi...
Kwa mfumo huu wa sasa Trent anacheza zaidi kama winger japo kimpira wanaitwa Overlapping Fullbacks ambapo ni yeye na Robertson... Kwa mfumo huu wanashambulia zaidi kutumia pembeni ni muda huo Salah au Mane ambao ndio ma winger wetu huingia zaidi kwenye kumi na nane kusubiri klosi za Trent ama rebounds...
Mfumo huu umefanilkiwa zaidi kutokana na Trent /Robby kua aggressive, fearless, athletic, quality crosses, excellent passing range.. And Klopp sioni akibadilisha kwa vile ushampa mafanikio zaidi
Trent Best QUALITIES
His main task is to provide width going forward , be aggressive, speed with highest tempo,deliver quality crosses but when we lose the ball boy has to track quickly and defend...at times he get caught especially when playing with a real counter attacking team..
When he attacks our Mids mostly Fabi or Hendo cover the spaces or the channels on his side just incase the opposition do attack.. But because he is pacy and athletic probably due to age he try as much to get back to his position...
Trent weakness
His weakness is mostly he hit so many useless passes at times rather than play the ball back but who can blame him that side he plays mostly with Hendo... His other weakness he is very poor at aerial balls but who cares when he is either taking the corners or scoring the dead balls...
Also his other weakness and won't blossom as a winger is his dribbling is not the best, and a winger who can't dribble like Mane would be colossal task to ask
With 4 3 3 formation the full back RB suit him well unless we get another RB and Klopp change the system he is there to stay at RB..
Hii issue ya Coutinho inazingua kweli! Kama vipi FSG si wamlete tu Coutinho
Kuna mechi moja vs Manu akaingia Steve sub mara pap akapewa kadi nyekundu...Yule namchukia mpaka kesho
Emre ndio huyoo Man U wanamtazama pengine January wapeleke ofa.. Kuachwa kwake kikosi cha Bibi Kizee kushiriki UCL kumemvuruga mno...Wachezaji wengi walioforce kuondoka liverpool walifail kudeliver maisha yao ya soka, tukimuondoa sterling tu angalau angalau akupotea sana
Pamoja ndugu, vipi unasema aje kuhusu mechi ya watani Jumapili MkuuMkuu bilashaka una undugu na Mwl. Kashasha![]()
My pleasure kaka.Nmeelewa mkuu
Asante
Pamoja ndugu, vipi unasema aje kuhusu mechi ya watani Jumapili Mkuu
Ndugu yangu huwa siwez ubishi..Hebu tupe evidence ya kuprove Kuwa anakaba ili Wadau tuone huo ukabaji wake.
Upo kwenye daylight dream Mkuu? Enewey Tumeshacheza michezo 8 ya EPL tu naomba unitajie Mpira mmoja tu Mrefu (Long ball) aliwahi kupiga kwenye hiyo michezo 8 na Matokeo ya Mpira huo.
Kumbe unajua Kuwa ni Garasa lakini tu unajitia Upofu.
Kama nani Kwa Mfano Ni Kiungo Mzuri Aliyekuwa hasaidii chochote Kwenye Timu Yake?
Mimi nilimtolea Mfano KDB je hujui anachoisaidia Man City?
Guandogan?
Silva?
Kante?
Fernandinho?
Veratti?
Matuidi?
Pjanic?
Wewe kumbe hufuatilii Mpira nimegundua hilo!
Henderson amecheza dakika 412
Kante amecheza dakika 287
James Milner amecheza dakika 226
Lucas Torreira amecheza dakika 202
Hao wote kwenye EPL wamecheza dakika chache msimu kuliko Henderson but wameshafunga au Kuassist msimu huu in all competitions.
Hii sio point ya Msingi coz hapa hatuzungumzii Mafanikio ya Timu bali tunazungumzia Uwezo binafsi wa Mchezaji.
Ni sawa na Kusema Messi mbovu kuliko Origi kwasababu tu Liverpool ya Origi imemfunga Barcelona 4 - 0
Hendo kafanikisha Lipi Ndani ya Liverpool???
Kabla ya kubeba CL alikuepo Liverpool takriban Misimu 7 alitupatia nini?
Si baada ya Kuja Kina Mane, VVD, Salah, Fabinho, Alison, Robertson, Matip, TAA, GINI ndiyo tukapata Mafanikio? Au umesahau?
Sasa kusema Hendo kafanikisha kitu wakati waliojitoa na kufanikisha tumewaona itakuwa ni jambo la ajabu.
Bado hujanipa sababu za ubora wa Henderson
Kitendo alichotufania Coutinho ni cha kishenzi sana, kumbuka anaondoka January, wakati timu inamhitaji kwa sana, lakini akatukataa akaona atukimbie, kuondoka January kwa mchezaji mnayemtegemea kama yule kipindi kile ni kitendo cha kigaidi sana, mwacheni tu astrugle huko, naamini ipo siku tutatengeneza Coutinho mwingine tu ndani ya timu
Kiukweli kwa spirit ya winning team yetu iliyonayo na mimi naamini tunashinda hiyo mechi, siwazi droo wala lose,
Nimeshuhudia zaidi ya 50 za Liverpool vs Man United na Joto lake ninalijua.
Kwahiyo hii mechi kwangu Mimi Inanipa Pressure sana yani siwezi kuitabiri hata kidogo.
Kupoteza ni rahisi sana.
Sadio Mané:Hebu tupe evidence ya kuprove Kuwa anakaba ili Wadau tuone huo ukabaji wake.