Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Roy Kean anasema Hendo na Rice ni bora wakakae Studio na yeye tu Waangalie mpira kwani uwanjani hawana kitu
Wakati Roy Kean anasema hayo ,man u wanajiandaa kupeleka £70m kumng'oa hapo westham

Manchester United could spend upwards of £70m to sign West Ham United's England midfielder Declan Rice.

bbcfootball
 
Huyu Waynaldam (In Dutch pronunciation) anapokuwa Timu ya Taifa na Anapokuwa Liverpool ni Watu wawilo tofauti.

Yani Timu ya Taifa anapiga mpira huwezi amini kama ndiye yule wa Liverpool

Acha kuponda man, Jini ni moja ya mido bora wa Liverpool, we ni aina ya watu unaeongea passionately kuliko ujuzi, bora Mosfed anajua anachoongea
 
Jordan Henderson

alisajiliwa sambamba na Andy Carrol, Charlie Adam, Stewart Downing, Jose Enrique sasa kwa nini wengine wote walifurushwa na yeye bado yupo?

Joe Allen alifika na Brendan Rodgers na Klopp alimuondoa mapema sana, ukiangalia sasa wachezaji ambao wanaweza kuondoka ni Lallana, Lovren lakini JORDAN HENDERSON hakuna dalili afu ndiye kapteni wetu

Henderson ana kitu gani kiasi anakubalika hivyo kuanzia KD, BR na JK?

Handerson hayuko talented kivile ila akiingia ata kutokea sub tim yote inastabilize, ni mtu ambae akiwepo ndan kufungwa inakuwa ngum japo kufunga nayo inakuwa ngum vilevile
 
Huyu Waynaldam (In Dutch pronunciation) anapokuwa Timu ya Taifa na Anapokuwa Liverpool ni Watu wawilo tofauti.

Yani Timu ya Taifa anapiga mpira huwezi amini kama ndiye yule wa Liverpool
kwann anakuwa hivyo awapo holland ni combination au position ndio vinambeba?
 
Jordan Henderson

alisajiliwa sambamba na Andy Carrol, Charlie Adam, Stewart Downing, Jose Enrique sasa kwa nini wengine wote walifurushwa na yeye bado yupo?

Joe Allen alifika na Brendan Rodgers na Klopp alimuondoa mapema sana, ukiangalia sasa wachezaji ambao wanaweza kuondoka ni Lallana, Lovren lakini JORDAN HENDERSON hakuna dalili afu ndiye kapteni wetu

Henderson ana kitu gani kiasi anakubalika hivyo kuanzia KD, BR na JK?
Ni mganga hendo ni mganga au mchawi

Tu conclude hivyo
 
Nadhani Klopp bado hajafahamu vizuri role position sahihi ya kumtumia Wijnaldum,huyu jamaa ana products kubwa sana kama Klopp akijaribu ku re think his position on the field.
Gini and Keita are not properly utilised at Reds ndio shinda ilipo...

Gini tangu yupo Castle alikua mfungaji mzuri tu na Timu ya Taifa hapitishi mechi 3 bila kutupia...

Hapa kwetu yupo pembeni mtalaam Hendo unategemea nini zaidi ya yupo mbalii Sana na goli lilipo.. Hata Kwa assist hayumo kivile..
 
Hii ni mara yangu ya kwanza hapa. I'm impressed!!
Liverpool is my life and it's good to see like minded people here. And it's good to see that most people here have almost similar thoughts for Liverpool as mine.
Hii mambo ubingwa, it's too early ila haimaanishi kwamba we should not focus, last season we lost by only one point!!! How can a team not even draw in 14 games!!!
In the current team and next match. We can still beat Manchester United with hando in even though he is our weakest link. Hando can be so rubbish at times, look at the game with Chelsea, look at England loosing with Czech Republic!!! It all him, look at the Red Bull game, it's all him.
Klop should also learn to sub Salah sometimes!!! I don't know what powerful dua he is using

The Manchester game is must win, they denied us the trophy last season by clinging on a draw at OT. How pathetic that Manchester United would be delighted with a draw verses Liverpool at home!!!

We need to win to make a proper statement this season, that we really want that cup!!!!

YOU WILL NEVER WALK ALONE!!
 
IMG_6444.JPG
 
Acha kuponda man, Jini ni moja ya mido bora wa Liverpool, we ni aina ya watu unaeongea passionately kuliko ujuzi, bora Mosfed anajua anachoongea
King Ngwaba yupo sahihi mkuu umemshambulia lakini alichokisema King Ukweli mtupu kama sio ukweli mkubwa kabisa

Namba anayocheza Gini pale Liverpool ndio hiyo anayocheza Gundogan ambae kama sio umri mkubwa wa Silva pale City Gundogan alikuwa hana hadhi ya kumuweka bench Silva sasa mtu alete stats za Gundogan na Gini halafu tuone kama sio Gundogan yupo level za mbali sana kumshinda Gini
 
mechi yetu na united inaweza kuwa ngumu cause ya team selection inayopenda kufanywa na klop kwa mfn utashangaa kumpiga benchi trent pia unakuta kaanza na kiungo cha milner,hendo na gini na kama klop atastick na timu selection nzuri tutapata ushnd mapema na mkubwa af kingine nimesikia Allison anarud game ya united mm kiukweli nisingependa hyo game acheze Allison kwan amekaa nje miez miwili so anatakiwa arud taratibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom