Asante kwa kunielewa. Watu wanamtukanaga milner humu lakini mechi ya juzi katubeba. Sio kila mchezaji atakupa kila mechi faida. Hapana kila mchezaji atasaidia kwa muda wake na mechi yake. Wachezaji wote ni wazuri wako katika uthabiti ndio maana tuko poa mpk sasa. Tuna tatizo moja tu la kufeel confortable hasa tukiongoza goli tunarelaxx sana hapo ndio inakuwa afueni kwa adui nae atukimbize nadhani hili kocha atakuwa ameliona hasa vs salzburg na leicester natumaini after mechi za timu za taifa atakuwa amelitatua hilo. Tupige utd na totte then aje huyo City tumcharange na beki yake maandazi
Halafu wewe nimekupeleleza huwa huingii humu kwenye uzi kitambo then Siku utakayoingia hijui nini kinajadiliwa unaishia kuingia chaka.
Hebu pitia comments za Wadau ujifunze wanajadili nini humu.
Ndiyo nyie Siku munayokurupuka kuingia humu munasema Tulimtukana Klopp Kuwa Kumsajili Robertson
Tulimtukana Klopp Kuwa Kumpandisha TAA kikosi cha kwanza
Tulimtukana Klopp Kuwa Kumsajili Ki-Jana
Sasahivi tunamtukana Klopp Kuwa Kumsajili Elliot
Tunamtukaba Klopp Kuwa Kumsajili Van Dem Berg
Alimradi munaandika kiti ili kuteke attention za watu tu.
Hebu soma tunavyoandika humu!
Kama hujui Wachezaji tunaowasema Directly Kuwa ni Wabovu hawarufai waondoke ni 3 tu.
1) Henderson
2) Lallana
3) Lovren
Lakini hakuna aliyewahi kumtukana au kumshambulia Milber.
Tunachokosoa na kukikataa ni
Combi/Mido ya MILNER - HENDO tu ambayo maranyingi haileri matokeo Positive.
Lakini hatukuwahi kumtukana au kumkosoa Milner as Milber.
Post vitu vyenye kueleweka bro.