koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,787
- 10,394
Na mimi pia ili mradi tu umtengee mpunga wa maana wa usajiliBinafsi nampa nafasi ya kwanza kwa maana yakuleta makombe mengi zaid pale Anfield

Na mimi pia ili mradi tu umtengee mpunga wa maana wa usajili
hii beki mpaka sasa imesimama ngangari twaongoza ligi Mkuu...Na hii beki ya sasa ivi?
ushindani ukiwa kama ulivyo sasa hata ligi inanoga zaidi ndugu, mpambane kwanza kuwapiku Foxes na Citizen ndio sasa muanze kujipanga zaidi kutushusha tulipo...Hii raundi ya kwanza umalizi ukiwa apo juu ..mpaka desemba either tutakuwa sawa or tutakuwa tumekutangulia...
Kila la kheri Chelsea![]()
Mane is the our player pound for pound so complete....The boy is fighter .... Mnaona anavyokaba nyuma
Mane ni hatari saja
hahaha kicks of a dying horse...Safi sana Maddison. Safi sana Brendan
1. the fella is arrogant and full of himself. we're the polar opposite.Mourinho unamuonaje kwani mbona yupo vizuri
Hahaa.. A horse is not yet died. Soon will start to walk againhahaha kicks of a dying horse...
This is Anfield hatuachi kuchukua pointi 3 mpaka dakika ya mwisho hivyo kua na maneno ya akiba...
Hongera kwa vijana wako...

Hivi ndivyo nijuavyo:
Miezi 8 ya awali:
Klopp aliingia Liverpool oktoba katikati, baada ya sare ya kutofungana na Everton.
Alikataa kubadilisha wachezaji aliowakuta, akisema wachezaji ni wazuri na ni jukumu lake kama mwalimu kuwafanya wacheze Vyema.
Kwanza aliwatathmini mchezaji mmoja mmoja.
Pili akatathmini timu nzima.
Hivyo, alianza na kubadili mfumo wa uchezaji.
Aligoma katakata kununua au kuuza mchezaji dirisha la January lilipofunguliwa.
Timu iliingia fainali mbili. Ile ya League cup ambapo ilifungwa na city kwa penalty na ile ya Europa league ambayo timu ilifungwa na Sevilla 3 - 1.
Msimu wa kwanza proper:
Klopp aling'amua matatizo yafuatayo:-
1. Kukosa 'urefu' eneo la ulinzi na kati - akamleta Matip
2. Kukosa uimara eneo la kati - akamleta Wijnaldum
3. Kukosa kasi eneo la mashambulizi - akamleta Mane.
Lengo likawa Liverpool iingie top 4. Hilo likafanikiwa.
Msimu wa pili proper:
Lengo likawa timu ijikite katika top 4, na pia ikiwezekana ichukue kikombe chochote kile.
Akaongeza height katika eneo la ulinzi na kasi mbele.
Akawaleta Salah na January VvD.
Pia alibadilisha baadhi ya wachezaji nafasi zao.
Timu ilifika fainali ya UCL na pia kufanikiwa kuwa katika top 4.
Msimu wa tatu proper:
Lengo lilikuwa kuwa bingwa wa EPL na ikiwezekana kurudi tena fainali UCL.
Alimuongeza Keita na Fabinho. Lengo kuleta structural stability na kuwa na strong spine katika timu.
Timu ilikosa kuwa bingwa wa EPL kwa pwenti moja na kufanikiwa kuwa bingwa wa Ulaya.
Sasa hebu tuambie mikakati ya Ole ikoje na inafananaje na hii.
At least Unai Emery anaonakana tayari ametanabahi kosa lake na sasa anaanza kujenga timu.
Lampard is a better coach than Ole!
You're wrong bro! SG is our next coach
Makocha ambao naweza kuwakubali baada ya kuondoka Klopp no 3 tu:-
1) Pep Guardiola
2) Jose Mourinho
3) Steven Gerrard
Ni Mtazamo wangu
Mkuu umetema madini ya Diamond lakini post yako nahisi kama imelenga kupostiwa jukwaa la Man United
LukubHivi ndivyo nijuavyo: