Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_6382.JPG
 
MMEMFANYAJE KLOPP?

Klopp on Salzburg video from inside the dressing room at HT at Anfield: "If LFC put a camera on me in a situation like that then I would leave the club."
 
Vs Leicester

Front three iwe ivi

Mane. Firmino. Shaqiri

huyu salah tunamlea sana ni bora akae benchi huenda akajirekebisha
Sidhani kama aweza pata namba huyu kwenye kikosi cha kwanza cha juve, Bayern,Barcelona,hata arsenal pia
 
'Mkiachia Video naondoka' .

Jurgen Klopp amesema kwamba ataondoka klabuni endapo Liverpool wataachia video akiwa anaongea na wachezaji wake wakati wa Mapumziko baada ya Salzburg kuachia video ya kocha wao Jesse Marsch akiwa na anaongea kwa hisia sana na wachezaji wake wakati wa mapumziko kwenye mechi ya UEFA dhidi ya Liverpool .

Klopp amesema kwamba hatovumilia kitendo kama hiko endapo Liverpool wakifanya hivyo.
.
.
. " Kama LFCTV wakiweka hadharani video yangu nikiwa nafanya hivyo, nitaondoka klabuni . Huo ndio ukweli na hilo ndio wanaweza kusema kuhusiana na hali hiyo ."
 
Tuna mechi ngumu na LC kwetu leo
Tuzidi waombea vijana,nina imani kama kila siku watapigana
Pale ni Anfield,nyumbani kwetu!
 
'Mkiachia Video naondoka' .

Jurgen Klopp amesema kwamba ataondoka klabuni endapo Liverpool wataachia video akiwa anaongea na wachezaji wake wakati wa Mapumziko baada ya Salzburg kuachia video ya kocha wao Jesse Marsch akiwa na anaongea kwa hisia sana na wachezaji wake wakati wa mapumziko kwenye mechi ya UEFA dhidi ya Liverpool .

Klopp amesema kwamba hatovumilia kitendo kama hiko endapo Liverpool wakifanya hivyo.
.
.
. " Kama LFCTV wakiweka hadharani video yangu nikiwa nafanya hivyo, nitaondoka klabuni . Huo ndio ukweli na hilo ndio wanaweza kusema kuhusiana na hali hiyo ."
Nadhani ni kijembe kwa Pep nae ana tabia hiyo ya kuachia video za vyumbani hasa wakishinda!
Red bull nadhani ni kuwafikishia ujumbe tu
 
Sawa kocha wetu wa kikosi cha liva jf

Inabidi siku tufanye bonanza na majukwaa mengine ya sport

Itanoga sana !

Ntatamn nimwone ollachuga anavyosakata mandombo
Hahahaha mze baba mimi ni fundi balaa acha kabisa ..kama ningeendeleza udambwi udambwi ningekuwaga Chelsea saivi ..Sema mambo ni mengi tuu..
 
Wapigwe liver fools Wapigwe. Wapigweeeeeeeeee ! .alisikika mshabiki mmoja wa Arsenal akipayuka
 
Klop moja kati ya kocha wanafiki sanaa

Nasemaje epl msipo mwangalia huyo kocha basi atawamaliza, ni nyoka hatari sanaa

Saizi anajifanya kuwasifia lecister city kuwa ni timu bora sana ina defence nzur, mara ooh foward ni kali sana kwamba inaweza maliza top four, hizi sifa zote ni kutokana leo anakuja kuwakabili hawa jamaa ,unaweza dhan anatafuta huruma kwa haya majaa, kumbe n ujanja, huyu jamaa ni kichwa ,
unaweza kuona ni maneno ya kawaida ila sisi wana psychology tunasema hivi hii n mbinu ya kuwajaza kichwa lecister waone wapo bora huku yeye kaficha makucha ili awamalize mapema, nasemaje camooon lecster ,anasifia silaha zenu anawapa kichwa kumbe anawalia target awamalize,

Oyaa vard piga goli za kutosha hapo unfield
najua klop anakupa sifa, anataka usimfunge,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom