Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wale wazee wa kumpigia kelele Kloop mbona hasajili kama Pep Vipi mbona mapesa ya Pepe hayamsaidii. Chama liko poa limekamilika. Nahawa hawa akina lallana tunabeba ndoo msimu huu. Kloop anaweza kumuhamasisha tembo akashindana na chui mbio sembuse hawa akina Origi. Subirini matokeo
 
Lallana yupi huyo anayetumiwa na Klopp kubeba Kombe?

Anyway! Mara ya mwisho ni lini kulogin? Coz kelele za kuntaka Klopp asajili hazijawahi Kuisha hapa!
 
Ila kiuhalisia tumepata faraja baada ya kuona Man City amefungwa, ila timu yetu inahitaji kubadilika hasa katika Kiungo. Kiungo chetu kimekuwa hakitishi kabisa no penetration pass no creativity siku ambayo Fabinho akikosekana itakuwa aibu. Kwasasa magoli yetu mengi yanatokea kwenye fullback zetu Arnold na Robertson mara nyingi wakiwa vibaya siku hiyo tunastruggle sana. Henderson ni hovyo Sana hana impact kwenye timu labda Keita atakapo rudi kiungo chetu kitaanza kuchangamka. Front Three yetu nayo makali yamepungua kutokana na kucheza mfululizo in and out on two consecutive seasons kwahyo at least pawepo na replacement ya Shaqir apewe game time alete ladha tofauti. All in all kwa kipindi hiki ambacho mpinzani wetu anafanya vibaya kutokana na majeruhi sisi ndio kwa kuwaacha mbali wakistuka 15 gap.
 
Tukiweza kuchukua points
hawa Everton 6pts
kwa Man Utd 6pts
4pts kwa Man City
Leicester 6pts
Arsenal 6pts
West Ham 6pts

basi ubingwa msimu huu utatuhusu
given mechi nyingine zote tupate matokeo kama msimu uliopita
 
Wale wazee wa kumpigia kelele Kloop mbona hasajili kama Pep Vipi mbona mapesa ya Pepe hayamsaidii. Chama liko poa limekamilika. Nahawa hawa akina lallana tunabeba ndoo msimu huu. Kloop anaweza kumuhamasisha tembo akashindana na chui mbio sembuse hawa akina Origi. Subirini matokeo

Mfano mzuri adrian mkuu,unaweza kusema tulitoa hela kumsajiri kumbe tumemchukua bure alikuwa zake home spain anawaza tu afanye shughuli gani,lakini ndio hivyo sasa hivi tukimwacha kila timu itamtaka.

Kina kitu wapinzani wetu wanafikiria kuwa mechi mbona bado sana na hilo ndio lililo tugharimu msimu uliopita kuona kwamba mechi bado ziko nyingi nawakati ushindi/matokeo ya sasa ndio utakaokupa ubingwa,tuwaache waendele kusubiria mpaka mwakani sisi kila mechi ni fainali,Safari hii tunatangaza ubingwa mapema kabisa.
 
Liverpool kabla ya Kuchekelea sana kumbukeni huu ni mwezi wa 10 ....

Mbichi na mbivu zitajulikana mwakani , angalau ingekuwa mwezi wa 4 hivi mngepaswa kushangilia kama mnavyofanya sasa, vinginevyo mtambue hii ni marathon

Kuwa bingwa wa epl inategemea na matokea ya sasa,sio matokeo ya mwakani peke yake,hauwezi kuchukua ubingwa mwakani kama sasa hivi unashindwa kuchukua point kwa norwich au wolves.

Liverpool ni mwendo wa kushinda kila mechi ni fainali tu.mkija kushtuka kumbe kila mechi inatakiwa ushinde iliuwe bingwa.

Hivi mbona wao wanashindwa kushinda kila mechi au ndio wanasubiria mpaka mwakani?

Safari hii tunatangaza ubigwa mapema kabisa kushinda hizo mechi zote sio kitu rahisi.kama rahisi kila mtu angeshinda hizo mechi.
 
IMG_6406.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom