Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa man city hii nimeyoiona leo

Na hivi vyuma vya liverpool,

Liverpool anaenda kumupiga gori za kutosha city, ukiaangalia kwa umakini kabisa, city ni timu moja mbovu sana ,sio kwamba haina wachezaji wazuri, ila hao majembe wa city hawana uchu kabisa,hawanauchungu na timu, utagundua wanajichezea chezea mpira just for leasure, tofauti kabisa na liverpool ambayo mtu unamwona kabisa huyu anacheza do or die, ukicheki kikosi chote cha liverpool n watu wanaojituma sanaa, tena kwa ustadi mkubwa,

Man city anaenda kupigwa gori za kutosha na liverpool, ni swala la muda tu
Umekubal co??
 
Lieutenant
Screenshot_20191006-213129.jpeg
 
Hivi katika timu ya kuogopa na man u ni timu kwel

Liverpool mnaweweseka bure, kama klop ana akili, liverpool ikitaka kucheza na man u, naomba muweka kikosi b, wale madogo waliocheza calabao unless otherwise mnaenda kupiga wale mashetan gori 10
Jokes/banter aside.

You need to do a simple research, kuhusu LFC Vs UTD fixtures.

inaonekana, kuna vitu vingi sana huvijui kuhusu hii fixture.
 
Kwa man city hii nimeyoiona leo

Na hivi vyuma vya liverpool,

Liverpool anaenda kumupiga gori za kutosha city, ukiaangalia kwa umakini kabisa, city ni timu moja mbovu sana ,sio kwamba haina wachezaji wazuri, ila hao majembe wa city hawana uchu kabisa,hawanauchungu na timu, utagundua wanajichezea chezea mpira just for leasure, tofauti kabisa na liverpool ambayo mtu unamwona kabisa huyu anacheza do or die, ukicheki kikosi chote cha liverpool n watu wanaojituma sanaa, tena kwa ustadi mkubwa,

Man city anaenda kupigwa gori za kutosha na liverpool, ni swala la muda tu
Unazungumzia man u au man city , hebu dadavua vzr
 
Hivi katika timu ya kuogopa na man u ni timu kwel

Liverpool mnaweweseka bure, kama klop ana akili, liverpool ikitaka kucheza na man u, naomba muweka kikosi b, wale madogo waliocheza calabao unless otherwise mnaenda kupiga wale mashetan gori 10
Naisubiri hiyo mech , Tumeshindwa kuwafunga sababu ya ujinga wa kocha

Nawaombea Liverpool wakaibamize man u goli hata 6,

Ujue acha man u ashuke hata daraja, ni timu ambayo ilinufaika sana na kubebwa sana na marefa ,

Liverpool wanaenda kumfukuzisha mtu kazi tena
 
Unazungumzia man u au man city , hebu dadavua vzr
Man city inawachezaji wazuri tatizo ni moja tu, hawana uchungu na timu kabisa, angalia game za city nyingi wanacheza kwa kurelax sana, wakikutana na liverpool hawaponi,

Liverpool n timu ambayo ukiaachana na kulipwa pesa, wanauchungu na timu, hasa ukiangalia wanavojituma, wanajitutumua sana mpaka unaona kabisa yess,

Angalia game ya sulzbag uefa, walivowasha moto pind wabapogundua wamefungwa, city wanakataa tamaa mapema na wanapanik
 
Man, lets talk about VVD.

My main man amekuwa hovyo recently.

these Ballon d'or issues really getting to his head. he need to sort it out, ASAP.
Yah man...but the main man is just getting a couple of bad days in the office...it happened even the days of Nesta,Maldin,Stam,Rio...He is OK.He is the real deal...the character,a leader,a fighter...cant ask for more from him..Those kind of things happen to reminds those who want to forget that he is a human being...not a robot...
 
Still people not watching football do not notice the man...the classic tackles,the magic turnings with the ball,forward passes...still difficult to be noticed by the eyes waiting for a goal and praise the scorer..the amazing silent moments are just quite...only ball watchers can catch and admirer
 
Rival fans will say its too early to get excited.

Yes, they're right & deep down, even i know its damn too early to get excited.

but, 8 points clear in October with;

City without their Best CB, God knows for how long.

Spurs, falling apart.

Alisson to come back

Keita & Ox yet to get a full run-in the first XI

Matip in the form of his life

Salah, yet to hit his 2nd gear

Firmino, in the form of his life

Mane, in the form of his life.

Gini, scoring away goals.

Henderson getting subbed off & dropped like nothing..

Lovren making last ditch tackles..

...and a fully adjusted Lieutenant Fabio Tavares.

DONT TELL ME NOT TO GET EXCITED.
Haaha...I like that piece..Gini scoring away goals..but you know what man...still don rate the guy honestly
 
Liverpool kabla ya Kuchekelea sana kumbukeni huu ni mwezi wa 10 ....

Mbichi na mbivu zitajulikana mwakani , angalau ingekuwa mwezi wa 4 hivi mngepaswa kushangilia kama mnavyofanya sasa, vinginevyo mtambue hii ni marathon
Exactly
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHWHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHWHAHWHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
Hiki kicheko dhahiri ungekiweka kule upande wa mashetani ungepigwa mawe....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom