Mkuu Mimi Naangalia Performance na Mchango wa Mchezaji kiujumla Maenye Career Yake na Wal a sidondoi kwenye mechi mojamoja kuwa alifanyaje!
Nitanihisi Mimi ni Mtu wa ajabu sana iwapo nitauona Origi kuwa ni Bonge la Mchezaji kwasababu tu ati aliwafunga Barcelona.
Vipi kuhusu tens of Games ambazo anacheza akiwa na poor performance?
Nitaendelea kumuheshimu tu kwa Mafanikio aliyotupatia kwa mchango wake wa CL lakini si sababu ya kuwa Origi ni mchezaji sahihi wa timu inayotafufa Mafanikio kama Liverpool.
Ni pure one game wonder
Hapo anasubiri game moja Ngumu anakuja tena kututoa kimasomaso then anapotea tena.