Yaani bora angebaki yule pacheco au luis alberto kuliko huyu lalllana na his useless turns on the fieldThis guy really hadeserve to wear Jezi ya Liverpool
Mkuu pep unamuonea kwani hao ndio wachezaji alionao.....wale A na B yote moto....I like Klopp
Carabao kawapa nafasi vijana
Pep hata Carabao wanacheza wakona Sterling!!
I like Klopp
Carabao kawapa nafasi vijana
Pep hata Carabao wanacheza wakona Sterling!!
Kiufupi Jones hakuna kitu...brewster ni new rashford anatakiwa aanze kupata nafasi kwenye kikosi, Elliot anaupiga atatusaidia baadae, Kijana yuko poa, Gomez ameanza kuwa msukule, lovren kajitahidi kuimarisha ulinzi ingawa alikua na makosa ya hapa na pale, lallana bado kuna vitu anavyo ila anashindwa kuvionyesha, nyanda kajitahidi instincts za goalkeeping anazo na kwa uhakika kabisa anamzidi karius.Curtis Jones sjamuelewa kabsa.. Naomba kujua views zenu kuhus huyu dogo
Ila Brewster naona mnamsifia sana ila sijaona kama anadeserve sifa anazopata isipokuwa Elliott dogo anajua nimemuelewaKiufupi Jones hakuna kitu...brewster ni new rashford anatakiwa aanze kupata nafasi kwenye kikosi, Elliot anaupiga atatusaidia baadae, Kijana yuko poa, Gomez ameanza kuwa msukule, lovren kajitahidi kuimarisha ulinzi ingawa alikua na makosa ya hapa na pale, lallana bado kuna vitu anavyo ila anashindwa kuvionyesha, nyanda kajitahidi instincts za goalkeeping anazo na kwa uhakika kabisa anamzidi karius.
Wanakufa mapema tu
Bola ya Solanke sijaona cha maana kwake.nashangaa kuna wanaotamani acheze badala ya Origi dahIla Brewster naona mnamsifia sana ila sijaona kama anadeserve sifa anazopata isipokuwa Elliott dogo anajua nimemuelewa
Tunatolewa madogo wao wanajiamini kuliko wetu
View attachment 1216155
Kama kawaida Man City yy team kubwa zinamkuta kombe uwanjani
FA inanuka rushwa
Kiufupi Jones hakuna kitu...brewster ni new rashford anatakiwa aanze kupata nafasi kwenye kikosi, Elliot anaupiga atatusaidia baadae, Kijana yuko poa, Gomez ameanza kuwa msukule, lovren kajitahidi kuimarisha ulinzi ingawa alikua na makosa ya hapa na pale, lallana bado kuna vitu anavyo ila anashindwa kuvionyesha, nyanda kajitahidi instincts za goalkeeping anazo na kwa uhakika kabisa anamzidi karius.
Mimi sijaangalia Mpira lakini mbona Ratings na comments za Wadau kwenye Platforms mbalimbali zinatofautiana na uliyoyaandika kuhusu Jones?
Wamemsifu sana kuwa ana kipaji