Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Sawa brother kwasababu ni wa kwetu wacha tuwapende hivyo hivyoKipaji anacho ila comment ya jamaa labda anaringanisha na senior players..kwa jana alikosa confidence
Sawa brother kwasababu ni wa kwetu wacha tuwapende hivyo hivyoKipaji anacho ila comment ya jamaa labda anaringanisha na senior players..kwa jana alikosa confidence
Kweli maana hiyo Liverpool iliyopo sasa ilitumia takriban £170m , wakati man u dirisha hili tu imetumia karibu £150m+ na inaonekana kama hakuna changes yoyote.Kweli Mpira pesa na akili pia muhimu.
Teh .....Juzi wakati naangalia tuzo za Fifa, nilifurahi sana Klopp na Allison kupata tuzo. I could have been so happy kama VVD angefunga hesabu but it was all good.
And then nikajifanyia tafakuri kwa ku-base mafanikio anayoyapata Liverpool FC, niko so so proud this time around kuvaa jezi ya Liverpool popote pale, nina jezi za rangi 4 na ninazivaa anytime anywhere bossing like there is only me and my Liverpool FC in this world.
Now, as a Liverpool fan, I want to find a way in which my achievements progress in the Liverpool's way. Change the way of thinking, acting and making targets that need a bit of stretching.
If Allison, Klopp and Liverpool have made it to the top, why can't I go to the top?
So Kops, let's put challenges to ourselves, let's believe that it is possible to be the best at anything that we are doing. Kama uko mahali wanapotoa zawadi kwa mfanyakazi bora, kwa nini usiwe? Kama unafanya biashara, kwa nini biashara isikuwe? Let's use this happy moments we getting from our beloved team to motivate and inspire ourselves. If you made a plan to get 2, fight for 3, and if 3 was a plan fight for 1+ more.
By May when Liverpool will be lifting an EPL cup, we will be lifting ours as well.
Best of lack guys, let's strive for greatness.
All the best to those who will join course

Mimi maoni tofauti kidogo mbona Jones ndio alikuwa mzuri zaidi na Elliot. Hata mtangazaji nimesikia anasema Jones yuko liveIla Brewster naona mnamsifia sana ila sijaona kama anadeserve sifa anazopata isipokuwa Elliott dogo anajua nimemuelewa
Teh .....
Eeh mzee baba
Mimi zile goli nne tulizowafunga barca zli ni inspire sana mzee
Kwmba anything is possible
Kwa mimi Jones nimeona ana vitu na atakuja kuwa good player sasa sijui wenzangu maoni yao hata mimi nimeshangaa baadhi ya comments humu.Mimi sijaangalia Mpira lakini mbona Ratings na comments za Wadau kwenye Platforms mbalimbali zinatofautiana na uliyoyaandika kuhusu Jones?
Wamemsifu sana kuwa ana kipaji
Hapa napingana na wewe nimeangalia game yote na Jones alikuwa mzuri kuzidi wenzake vijana wa jana sasa inaweza kuwa hukumpenda au ndio mtazamo wako ila kacheza vizuri kwa mtoto wa miaka 18Achana na media comments za kiingereza nakuhakikisha brother Jones ni mchezaji wa kawaida sana na hana future yoyote ni aina ya wachezaji wa kiingereza ambao technically hawana uwezo
Mtazamo tu mkuu ..mi nadhani experience and hard work ina matter zaidi ya kipaji (ndio maana wakina H.wilson wanapelekwa kwa mkopo wapate uzoefu )..unaweza ukawa na kipaji ukafelishwa na experience ..Hawa wanahitaji game za mara kwa mara angekuwa anaanza kikosi cha kwanza senior team hapa ndo tungesema bado ila yule ni dogo wakupewa muda!.Sawa brother kwasababu ni wa kwetu wacha tuwapende hivyo hivyo
Elliott ni fundi ajaeMimi maoni tofauti kidogo mbona Jones ndio alikuwa mzuri zaidi na Elliot. Hata mtangazaji nimesikia anasema Jones yuko live
Ndo hivyo mzee, sasa hivi habari za kukata tamaa nimeacha.
Liverpool hii nikikumbuka ilivyonitesa miaka hiyo, leo natesa mtaani, kila nakopita nasikia mzee wa Liver niaje, mtatoka?
Nawajibu, haponi mtu, na kweli tunanyonga. Hapa nasubiri kumwangamiza Man Utd, Arsenal - EFL, Man City huu mwaka lazima tumsomeshe.
Kwa heshima na taadhima tafadhali mtoe Origi kwenye hiyo orodha alafu muweke Karius namba moja
Origi technically na tactically yupo very talented unless tuseme amekua outshined na front 3 tuliyokua nayo labda tukubaliane kuwa klop ameshindwa kumtumia ni imani yangu kuwa akicheza namba 9 atafunga sana magoli provided midfield na wingbacks watapiga cross za kutosha..namuona kama plan B nzuri kwetu if bobby is not thereMkuu Mimi Naangalia Performance na Mchango wa Mchezaji kiujumla Maenye Career Yake na Wal a sidondoi kwenye mechi mojamoja kuwa alifanyaje!
Nitanihisi Mimi ni Mtu wa ajabu sana iwapo nitauona Origi kuwa ni Bonge la Mchezaji kwasababu tu ati aliwafunga Barcelona.
Vipi kuhusu tens of Games ambazo anacheza akiwa na poor performance?
Nitaendelea kumuheshimu tu kwa Mafanikio aliyotupatia kwa mchango wake wa CL lakini si sababu ya kuwa Origi ni mchezaji sahihi wa timu inayotafufa Mafanikio kama Liverpool.
Ni pure one game wonder
Hapo anasubiri game moja Ngumu anakuja tena kututoa kimasomaso then anapotea tena.
Dah, wewe ndo mimi kabisa, wananiita mzee wa Liver
Mkuu Mimi Naangalia Performance na Mchango wa Mchezaji kiujumla Maenye Career Yake na Wal a sidondoi kwenye mechi mojamoja kuwa alifanyaje!
Nitanihisi Mimi ni Mtu wa ajabu sana iwapo nitauona Origi kuwa ni Bonge la Mchezaji kwasababu tu ati aliwafunga Barcelona.
Vipi kuhusu tens of Games ambazo anacheza akiwa na poor performance?
Nitaendelea kumuheshimu tu kwa Mafanikio aliyotupatia kwa mchango wake wa CL lakini si sababu ya kuwa Origi ni mchezaji sahihi wa timu inayotafufa Mafanikio kama Liverpool.
Ni pure one game wonder
Hapo anasubiri game moja Ngumu anakuja tena kututoa kimasomaso then anapotea tena.
Halafu sasa inatokea hata nikiwa mitaa mingine mtu akiita mzee wa Liver nakaribia kuitika.
Mtaani hata jina sijulikani, zaidi ya miaka mitano hii sehemu nayokaa najulikana ni mzee wa Liver.

Hahahahahahahahah noma sana Mzee.Halafu sasa inatokea hata nikiwa mitaa mingine mtu akiita mzee wa Liver nakaribia kuitika.

Full maHOPE,