Liverpool halisi ndio ipi?na hii ya sasa hivi ni fake?Liverpool me nawajua, hamna kikosi kipana, hasa hawa viumbe watatu wakiumia ndio polomoko lenu linapoanzia
Mane, salah au firmino
Mwez wa kwanza na wa pili ndio utaiona liverpool halis, pale mtakapokuwa mnacheza
Uefa
Epl
Fa
Calabao
Yaan hapa, liverpool mkitaka yote kwa pupa ndio kukosa yote, hapo sion kikosi cha kuhimili hio milima,

