Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuhoji ni jambo la busara wapiga kura wanachagua wachezaji wanaowapenda wao, bila kuangalia nani kafanya nini, ndio maana Ramos anakiri Madrid hawakuwa na msimu mzuri na Kama angetaka tuzo binafsi angecheza tennis ila voters wamewachagua regardless performance kwenye team zao.Marcelo anaendelea kutamba kikosi bora cha dunia kisa anapendwa na wapiga kura. Tukutane 2020 tuzo hizi ni za kibiashara zaidi

Naona wapiga kura wanaendelea kutuaminisha kuwa Casemiro ni bora kuliko Kante
 
Naona wapiga kura wanaendelea kutuaminisha kuwa Casemiro ni bora kuliko Kante
Wapiga kura ni watu waajabu sana,Unafikiri kuna watu wamewashikiria akili mchezaji bora wa dunia lazima awe mshambuliaji, Allison kapata Coper Amerca medal, Coper Amerca gloves, Epl gloves,Champions League gloves,Champions league medal .Zidumu fikra za wapiga kura waendeleee tu hatutawalaumu kwa mishangao wanayotupatia
 
Ni sawa na Mshabiki wa Ronaldo kumpigia kura Messi yani haiwezakani, Kinyumechake mshabiki wa Messi kumpigia kura Rinaldo yani haiwezekani.

Hawa Washabiki wote wa Ronaldo na Messi kumpigia kura asitekua mmoja kati ha hao Wawili pia haiwezekani.

So, FIFA hapa hawana ujanja wa kuzizibiti kura kwa njia yoyote ile.

Hata hivyo kati ya Messi au Ronaldo kupata tunzo yoyote ile Mimi siwezi kuilalamikia kwani Wanastahili.
 
Kati ya magoli 17 ambayo Liverpool imefunga kwenye ligi na uefa msimu huu magoli 12 yamefungwa kipindi cha kwanza na 5 kipindi cha pili.Inaweza kuwa hali ya kawaida pengine,lakini pia inaweza kutoa picha fulani.

Labda wachezaji hasa front three wetu wanawahi kuchoka na hivyo kusababisha kuwa wazuri zaidi kipindi cha kwanza kulinganisha na cha pili..?Au wapinzani wanatusoma kwa kiasi kikubwa kipindi cha kwanza na kuja na mbinu zaidi kutuzuia kipindi cha pili...?Gem ya juzi dhidi ya Lampard inaweza kuwa reference hapa...?Au substitution za kipindi cha pili zinaifanya timu kubadili set up na kucheza kwa kujihami zaidi pengine kulinda ushindi ambao tayari umepatikana...?

Au washambuliaji wetu wanakuwa makini zaidi ambapo tunatafuta magoli ya kuongoza na tukipata tu goli mapema basi concentration inapungua...?

Naiangalia Man City na idadi ya magoli wanayofunga kwenye mechi zao.Sidhani hata kidogo kwamba our permanent front three combined inazidiwa uwezo na flexible attacking players wa man city combined.Arguable.Ndomana najaribu kufikiria sababu ya kutofunga magoli zaidi ya yanayofungwa sasa.Hata tukipata opponent ambaye tumeshamuwin tunaishia kumpiga 3 au 4 tukijitutumua sana.Kuna mentality ya "ushindi ni ushindi" au sijui "muhimu points tatu"...najikuta sipendi tu kufikiria hivyo.Liverpool we are winners,the sixth times champions of Europe...managed by the best football manager....a club of the best footballer of Europe...the best defender in the Universe...A club of a player who is among the top three list in pacey....a club of the best goalkeeper in the Universe...the best back up golie on Earth...Kwa hiyo hatutakiwi kuridhika na vitu vya msingi tu (basics) wakati tunaongelea club kubwa inayopaswa kuwa na surplus kibao apart from winning matches.

Kama kuna mchezaji ambaye kama tumefunga moja,au mbili au tatu basi anaona inatosha na anaanza kutafuta goli zake kurembesha profile yake binafsi huyo hapaswi kuwa na sisi.Man City hawana mtu wa kulimit idadi yao ya mabao.Wanafunga tuu mpaka iwe haiwezekani kufunga.Hawajali wanaongoza mangapi,wanafunga tu hata zikifika ishirini...very good mentality..sisi mpaka wachezaji wengine wanawalalamikia wengine kwa uwazi kabisa kwamba hawatoi pass za magoli...Na mpaka inafikia hatua hiyo ujue kuna jitahada zimefanyika behind the scene kumaliza hilo tatizo lakini mtu anakubuhu tu kuendelea na tabia yake ya ubinafsi wa kijinga kwa kisingizio rahisi tu eti ndo tabia ya kila striker..kitu ambacho sio kweli hata kidogo na tunaona man city wanavyotoa mfano dhahiri kabisa..To me liverpool will always come first before any player...sasa tuna mashabiki wa wachezaji humu kuliko timu ,na unakuta wanakitetea kitu ambacho kwa timu ni hasara na faida ni kwa mchezaji wake kipenzi.Haijalishi umekuwa na sisi kwa muda gani,umetufungia magoli mangapi ya muhimu...once you start positioning yourself or your individual successes higher than the team..nasahau kila linaloitwa jema lako aisee.Siwezi kukuona wa maana kwa sasa kama unainyima timu yangu kitu ambacho unao uwezo wa kuipa.Umaana wako unakuwa historia(na nitabaki kuiheshim historia yako nasi) na kwa sasa unabaki huna maana,just that simple.We are competing with man city to win the premier league title...Yes we are above them in points but still posssible to be above them in number of goals.If only someone stop to decide for us how many number of goals we should score in a match.If its possible to score ten goals..let us do that even if you do not score a single goal in those ten(something very difficult to happen because you must score if you put the team ahead).Stop being our limiting factor...Should someone win his own war against aguero or Pukki or Sterling by failing us our main war against City i can not support him.I will hate him.Yes.

We had the fantastic players,better than you,we loved them more than we love you,but once they stoped playing in our favour,we ignored them.Once they moved to other clubs,we didn't join their journey.We stayed as Liverpool fans and start to support the likes of Lambert.This must teach you that a club is what is more important than your individual achievement...
 
IMG_6311.JPG
 
Dili la Nike linaelekea Kufeli Coz NEW BALANCE wameshatupeleka Mahakamani baada ya Kusikia kuwa Liverpool imeshaafikiana kuingia Mkataba na Nike.

NB Katika Mkataba wao na Liverpool kuna kipengele cha 'Matching Clause' ambapo wakifikia dau sawa na Sponsor yeyote yule basi wao ndiyo watakuwa washindi wa Offer na wataingia Mkataba.

Na Msemaji wa NB amesema wameweza kumatch offer aliyofikia NIKE kwanini Liverpool iingia Mkataba na Nike wakati Matching Clause inawafavour wao NB?

Tuendelee kusoma show litamalizikaje.
 
Lionel Messi last season(2018/2019):

Europe top scorer

Barcelona top scorer

Champions League top scorer

La Liga top scorer

Barcelona most assists

La Liga most assists

Most La Liga MOTM awards

Most UCL MOTM awards

Most chances created

Most goal contributions in the top 5 leagues

Most points won for his team in the top 5 leagues

Most free-kick goals

Most braces

Most hat-tricks

Top scorer Vs Top 6 EPL teams

Contributed to 74/96 team

goals

UCL most man of the week

UCL best Forward

UCL goal of the tournament

Pichichi award(la liga golden shoe)

6th European Golden shoe 2019(record)

Most goals outside box

La Liga MVP

ESPY Best international Men's

Soccer Player of the year

Nimejaribu kuisoma badala ya nyingine nimegundua umejaza takwimu zisizokuwa na msingi eti barcelona top scorer,barcelona most assists,duh,hizo ndio sababu Messi kashinda tuzo za mchezaji bora?

Eti kuna sehemu umeandika goals tu halafu umetia tiki ,ili ionekane messi anatakwimu nyingi mtu akisoma tu aogope .

Licha ya takwimu zote hizo makombe ya kuku 2 tu aliyopata.

Mbona hizo takwimu azijamsaidia chochote kuchukua makombe amzidi bernado silva tu?
 
Wewe ulipendekeza achukue nani mkuu?
 
Hiyo sio jealous bali ni mitazamo ,daima haiwezi kufanana......ikiwa mapacha wanaweza kutofautiana mitazamo itakuwa hao..........

Mkuu mengine ni Mitazamo ya Wivu lakini sio uhalisia! Nina uhakika Moyoni mwake Ronaldo anajua kuwa Messi ni Bora na msimu uliopita Messi kafanya Makubwa kuliko Mbappe lakini tu kaamua Kumfanyia Jealous Messi.

Ivi kweli Mtu kama Ronaldo anaejua Mpira ndiyo aone Mbappe yupo ahead of Messi?? Serious??

Au hao wote wawili Messi na Ronaldo kutompigia kura VVD unadhani ni Mitazamo yao kuwa Ronaldo amejiridhisha De Ligt ni bora kuliko VVD? Au Messi amejiridhisha kuwa Man msimu uliopita alikuwa bora kuliko VVD?

Hapo wametumia Jealous tu wakidhani Wakimpigia kura VVD basi eti anaweza kuwazidi kwa kura.

Messi na Huyo Ronaldo kama wataambiwa wachague Beki yupi kati ya VVD na De Ligt awe teammate wao basi wote watamchagua VVD

VVD yeye hakuwa na Jealous! Kaona wazi kuwa Messi ni best na anadeserve uchezaji bora na ndiyo kampa kura Yake bila ya kujali kuwa itamuathiri, Zilizobakia Mbili kaamua kuwapiga push his teammate at least kuwapa company.
 
Nimejaribu kuisoma badala ya nyingine nimegundua umejaza takwimu zisizokuwa na msingi eti barcelona top scorer,barcelona most assists,duh,hizo ndio sababu Messi kashinda tuzo za mchezaji bora?

Eti kuna sehemu umeandika goals tu halafu umetia tiki ,ili ionekane messi anatakwimu nyingi mtu akisoma tu aogope .

Licha ya takwimu zote hizo makombe ya kuku 2 tu aliyopata.

Mbona hizo takwimu azijamsaidia chochote kuchukua makombe amzidi bernado silva tu?
kombe linachukuliwa na team sio mchezaji mmoja
 
Votes have spoken

Messi deserved the award... Let's not get too emotional, Liverpool had a very strong squad last season

We had 7 players out of 20 and it was easy for the votes to be spread

With seven players in top 20 rest assured that VVD did NOT SINGLE HANDEDLY carry Liverpool

As opposed to Messi

We shook the bridge
Messi was voted he deserved...
 
Wapiga kura ni watu waajabu sana,Unafikiri kuna watu wamewashikiria akili mchezaji bora wa dunia lazima awe mshambuliaji, Allison kapata Coper Amerca medal, Coper Amerca gloves, Epl gloves,Champions League gloves,Champions league medal .Zidumu fikra za wapiga kura waendeleee tu hatutawalaumu kwa mishangao wanayotupatia
Duh well said comrade...
 
1. Lionel Messi (Barcelona)

2. Virgil van Dijk (Liverpool)

3. Cristiano Ronaldo (Juventus)

4. Mohamed Salah (Liverpool)

5. Sadio Mane (Liverpool)

6. Kylian Mbappe (Paris Saint-Germain)

7. Frenkie de Jong (Barcelona)

8. Eden Hazard (Real Madrid)

9. Matthijs de Ligt (Juventus)

10. Harry Kane (Tottenham)
 
Dili la Nike linaelekea Kufeli Coz NEW BALANCE wameshatupeleka Mahakamani baada ya Kusikia kuwa Liverpool imeshaafikiana kuingia Mkataba na Nike.

NB Katika Mkataba wao na Liverpool kuna kipengele cha 'Matching Clause' ambapo wakifikia dau sawa na Sponsor yeyote yule basi wao ndiyo watakuwa washindi wa Offer na wataingia Mkataba.

Na Msemaji wa NB amesema wameweza kumatch offer aliyofikia NIKE kwanini Liverpool iingia Mkataba na Nike wakati Matching Clause inawafavour wao NB?

Tuendelee kusoma show litamalizikaje.
Duh kazi kweli kweli ,kwahiyo NB wamejitutumua kutoa zaidi ya £75m+ p/yr kutoka £45m ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom