Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1) Norwich: ✅
2) Southampton: ✅
3) Arsenal: ✅
4) Burnley: ✅
5) Newcastle: ✅
6) Chelsea: ✅

Let’s talk about six 🎤

70769072_10156056911785666_1725318174171201536_n.jpg
 
Jumamosi 28 September

SHEFFIELD UNITED v/s LIVERPOOL

EVERTON v/s MAN CITY

Hapo ndiyo utaona ujinga wa EVERTON linapokuja suala la Man United au Man City kutaka ubingwa! Yani wanaachia free 3 points kiulaini kabisa
This time around bado mapema,inabidi achange karata zake vyema la yatamkuta ya kusotea mid table position,kheri ili limetokea mapema kabla ya kukutana naye
 
Jumamosi 28 September

SHEFFIELD UNITED v/s LIVERPOOL

EVERTON v/s MAN CITY

Hapo ndiyo utaona ujinga wa EVERTON linapokuja suala la Man United au Man City kutaka ubingwa! Yani wanaachia free 3 points kiulaini kabisa
Mkuu sio katika gemu za mapema hivi na ukizingatia matokeo yao hayaridhishi

makocha ambao muda wowote kabla ya Januari 2020 wanatemwa ni

1) Marcos Silva Everton

2) Ole wa Manu

3) Mauricio wa Spurs

Hawa nao sioni wakimaliza msimu

1) Steve Bruce wa Castle

2) Santo wa Wanderers endapo hawatolewa Europa mapema basi huyu Nuno sioni akipona..
 
Joel Matip vs Chelsea
68% passing
5/6 aerial duels - most in game
3/3 tackles - most for Liverpool
9 clearances - most in game
1 interception
Rock solid 👊🏻
huyu Msomali hakika ni mpambanaji, kumbe benchi na mchezaji akiwa chaguo la tatu ama nne linawafanya kujituma na kua serious zaidi...
 
Jumamosi 28 September

SHEFFIELD UNITED v/s LIVERPOOL

EVERTON v/s MAN CITY

Hapo ndiyo utaona ujinga wa EVERTON linapokuja suala la Man United au Man City kutaka ubingwa! Yani wanaachia free 3 points kiulaini kabisa
Nimeangalia mech mbili za hawa Sheffield na jamaa wana game plan maridadi sana kutokana na wachezaji walionao...kwanza ni wavumilivu mno ukisikia kupaki SGR ndio hii timu.....

ingekua Liverpool ya 2017-2018 ningesema hii gemu tutoka sare...

pazuri wanakuja nyumbani na hapo watajua pamoja na sifa yao ya kua timu kongwe zaidi duniani Anfield sio mahala salama...

natarjia kikosi cha kazi kazi tuwazima mapema...
 
Mkuu sio katika gemu za mapema hivi na ukizingatia matokeo yao hayaridhishi

makocha ambao muda wowote kabla ya Januari 2020 wanatemwa ni

1) Marcos Silva Everton

2) Ole wa Manu

3) Mauricio wa Spurs

Hawa nao sioni wakimaliza msimu

1) Steve Bruce wa Castle

2) Santo wa Wanderers endapo hawatolewa Europa mapema basi huyu Nuno sioni akipona..
Spurz sion wakimtimua poch ,

Halafu mbona unamsahau Unai emery , katika hiyo list
 
Tunawafuata kwao
Nimeangalia mech mbili za hawa Sheffield na jamaa wana game plan maridadi sana kutokana na wachezaji walionao...kwanza ni wavumilivu mno ukisikia kupaki SGR ndio hii timu.....

ingekua Liverpool ya 2017-2018 ningesema hii gemu tutoka sare...

pazuri wanakuja nyumbani na hapo watajua pamoja na sifa yao ya kua timu kongwe zaidi duniani Anfield sio mahala salama...

natarjia kikosi cha kazi kazi tuwazima mapema...
 
Liverpool me nawajua, hamna kikosi kipana, hasa hawa viumbe watatu wakiumia ndio polomoko lenu linapoanzia

Mane, salah au firmino

Mwez wa kwanza na wa pili ndio utaiona liverpool halis, pale mtakapokuwa mnacheza

Uefa
Epl
Fa
Calabao

Yaan hapa, liverpool mkitaka yote kwa pupa ndio kukosa yote, hapo sion kikosi cha kuhimili hio milima,
 
Hongereni Liverpool kwa ushindi Jana ,,matip jna kapiga Sana Kaz jpo.mmi cio shabiki wa liver
 
hahahahaha hawa jamaa sijui Webb na Fergie 'waliwaroga' ama ni vipi...

mi nadhani wawatafute hao wazee wawili wawapigia magoti waachilie nyota yao ya ushindi...

Club legend Nevile kabla Ole hajapewa kazi rasmi alishauri wasubiri mpaka msimu uishe ndio apate hicho kibarau mazima lakini sasa Ole kushinda zile mechi 8 uongozi,mashabiki wakaona huyu homeboy ndie new Fergie wasisubiri tena apewe mikoba...kama nuksi baada ya kumtangaza rasmi kama kocha wao ndio balaa za vipigo na sare zikaanzia pale pale mpaka wa leo...

safari hii hatumuachi ugenini ama nyumbani...
Hahahah Hawa hapa ndo wenye timu soooon watarudi
FB_IMG_15692345849303586.jpeg
 
Nimeangalia mech mbili za hawa Sheffield na jamaa wana game plan maridadi sana kutokana na wachezaji walionao...kwanza ni wavumilivu mno ukisikia kupaki SGR ndio hii timu.....

ingekua Liverpool ya 2017-2018 ningesema hii gemu tutoka sare...

pazuri wanakuja nyumbani na hapo watajua pamoja na sifa yao ya kua timu kongwe zaidi duniani Anfield sio mahala salama...

natarjia kikosi cha kazi kazi tuwazima mapema...

Mkuu sio siri tuongelee kimpira kuhusu hichi Kikosi cha Wachezaji 10 (exclude GK)

MANE - BOBBY - SALAH

GINI - FABINHO - SALAH

ROBBO - VVD - MATIP - TAA

GK

From last season to this season (2 seasons in total) kikosi hichihichi bila ya kupumzishwa a single player kinacheza kwa kutumia more Energy kuliko kawaida kiasi ya wachezaji wa kawaida wanajituma mpaka tunawaona ni World class.

Je kwa Energy kubwa wanayotumia bila ya kupumziswa (kutokana na kuwa hatuna Benchi la uhakika la kufanya rotation) unahisi huko mbeleni mybe 2022/2023 baada ya Wachezaji kuchoka hatutokuja kuanguka?

Mfano mdogo baada ya Mane na Salah kujituma sana katika michezo 5 ya mwanzoni mwa huu Msimu watazame katika last two mechi vs NAPOLI and CHELSEA wamechoka na wote wawili walikuwa na Poor performance kuonesha kuwa wanahitaji kupumzika.

Na ndiomana kama ingeliwa naweza kutoa Way forward basi ningemshauri Klopp katika hii Jan Window amrudishe Grujic, then summer window asajili at least AM/Namba 10 na Striker mmoja (eg Timo Werner).
 
Spurz sion wakimtimua poch ,

Halafu mbona unamsahau Unai emery , katika hiyo list
Poch Anaweza akasogezea mzigo man u huyo..maana kule sahiv hakuna namna..kama walifukuza the chosen one + the special one hawashindw kwa huyu aliyeletwa kwa kivuli cha mtoto wa nyumbani..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom