Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
ila FIFA nao siasa kibao, Ramos ,Marcelo na modric wanini hapo? TAA na Roby walistahili, Marcelo hakuna alichofanya last season
Huyu ni nan
Sishangai ila Messi na Ronaldo kwa michuano iliyopita hakuna yyt aliefanya Cha maana...kiufupi wangekaa pembeni.maana sijaona mchezdji wa ajax hapo ila kiuhalisia kwa msimu uliopita madogo walipambanaMsssi kuwa Mchezaji bora Duniani ni kitu cha Kawaida, Labda shida itakuja kwa Ronaldo Fanboys
Sishangai ila Messi na Ronaldo kwa michuano iliyopita hakuna yyt aliefanya Cha maana...kiufupi wangekaa pembeni.maana sijaona mchezdji wa ajax hapo ila kiuhalisia kwa msimu uliopita madogo walipambana
Messi kamwaga VVD, kawa mchezaji bora wa mwaka.
Pole vvd obgeza juhudi Muda na umri vina kuruhusu.
Duh eti Messi
Hiyo tuzo ya messi ni siasa tu hakuna uhalisia hapo, messi wa sasa ni zilipendwa hana tofauti na chama wa simba
Kama ujui tuzo tulia usiendeshwe na mahaba ...VVD fun boys mna teseka nini ...mna zani i ni kama ile ya UEFA aliyo pewa
Kaa kimya ficha upumbavu wako huko
Lionel Messi last season(2018/2019):Sishangai ila Messi na Ronaldo kwa michuano iliyopita hakuna yyt aliefanya Cha maana...kiufupi wangekaa pembeni.maana sijaona mchezdji wa ajax hapo ila kiuhalisia kwa msimu uliopita madogo walipambana
























Unasema?Hiyo tuzo ya messi ni siasa tu hakuna uhalisia hapo, messi wa sasa ni zilipendwa hana tofauti na chama wa simba
ishu sio aje asote benchi mbali aje aboreshe benchi letu , tazama any top team competing at highest level kama Juve, Bavarians, Catalans, Citizen nk je tunafikia hata robo ya bechi zao jibu ni hapana, tunachosema sio hawa waliopo waodoke ama wakae benchi mbali wasiwe over used kama ilivyo sasa....walitoka Kombe la dunia, wakaja Ligi, this tym ni Copa America, Kombe la Afrika nk sasa hili linawapelekea hawa jamaa kuchoka ajabu kwa vile hapa klabuni wanacheza over 75 minutes most of the time...Mkuu kwenye issue ya Striker tu sahau kwa sasa hawa front three wetu We are equally cursed and blessed sidhani kama kuna top striker atakaekubali kubali kuja na anajua kabisa kuwatoa ni mzk ataishia kuwa bench warmer hapa nadhani ni kuwa na mido iliyofit au kuwa na attacking mido
Votes have spoken
Messi deserved the award... Let's not get too emotional, Liverpool had a very strong squad last season
We had 7 players out of 20 and it was easy for the votes to be spread
With seven players in top 20 rest assured that VVD did NOT SINGLE HANDEDLY carry Liverpool
As opposed to Messi
We shook the bridge
Nimchukie mtu hata kumjua simjui zaidi ya kumuona kwenye tv inisaidie nini mess amepata mafanikio kwenye ligi ya nyumbani tu msimu uliopita kitu ambacho ukiziangalia ligi nyingine wapo watu wengine nao wamefanya vizur na hata kwenye ucl wakafika mbali....kwann nisiishange kama Marcelo kapewa tunzo halafu Robertson kaachwa.Messi hakufanya chochote? Wewe sio mwanamichezo ni hater