Mchezaji kama Keita na OX ni enough kwa Back up kwenye Midfield iwapo tu hawatokuwa na injuries za Mara kwa Mara! But Front 3 ni ukweli usiofichika kuwa hawana Backup kwasasa.
Watu wengi wanaangalia kuwa Origi na Xhaqiri ni Back up ya Mane, Bobby na Salah blindly kwa kuhadalika na Magoli ya Origi aliyofunga CL.
Lakini ukweli ni kwamba Origi na Xhaqiri ni aina ya wachezaji wa Carabao na FA... Origi anakufurahisha mechi 2 then anapotea mechi 10. Ikisha anakuja kuibuka tena kwa mechi 3 tena, then anapotea tena mechi 12. Hana consistency ya uhakika.
Kwasasa young Defenders tunao wa kutosha hatuhitaji usajili wa Defenders coz hata Senior defender yupo GOMEZ kwa Backup. But kwenye DM tunahitaji tusajili Natural Young DM au tumuandae from Academy kwa ajili ya Backup ya Fabinho.
Then AM (8 au 10), pia Central Striker ili kuwapa Muda wa kupumzika Front 3.
Van Dem Berg, Elliott na Ki-jana ni investment nzuri tu kwa Future Plan.
hata Klopp anafahamu Origi sio like for like sub nadhani pia ndio maana hawakua na haraka ya kumpa au kumuongeza mkataba mpaka pale alipofunga magoli muhimu katika mechi muhimu...
Keita na Ox ishu kuu nao ni consistency inayotokana na loss of form kwa muda mwingi kua majeruhi,
Hii 4 3 3 kwa sasa ndio mwokozi wetu, hatuna natural striker wa kutupa 20+ goals per season Firmino sio natural strika ni false 9...Januari tumpate Timo and we are good to go unless huyu Rhian aje atu prove otherwise na kucheza at Top.level we need top players...
Shaqir, Lallanaa bana sio game starter wa kutoboa 1st 11 na kuleta tunayoyapata kutoka kwa hawa starters wetu...
gemu zikianza kuchanganya hili litakuja onekana, actually i say kudos to the BOYS maintainig hii winning mentality and being over used is just superb and awesome...to be very fair they have done us proud sasa nikivaa uzi wangu wa Majogoo i feel that pride and joy knowing kununa sio kama zamani...
If Keita and Ox can stay fit then watatubeba vyema mpaka kufika Jan 2020...
Young defenders wapo wa kutosha sasa kimebaki development yao iwe ya uhakika..natarjia kuwaona Carabao...
we are overworking this lads mpaka basi..ni noma kwa kweli
i FORBID any curse ya majeraha kupita mbali na sisi..
Jan we need a proper Straika na AM mmoja wa nguvu...
i hope by 2020 June Hendo, Lallana, Milner, Shaqir,Lovren watapisha wengine tutee EPL yetu na kikosi kamili...