Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila hili jamaa Matip limenoga sasa hivi , linacheza vizuri lina win aerial duel , linapiga pass za mashambulizi vzr , limemnyang'anya namba Gomez kirahisi sana.
huyu ndogo tangu awe partner na VVD kiwango kumekua sana kwa kweli yupo makini kwa last tackle or last block ndio mwenyewe aafu kinachonifurahisha na anvyokua hana papara wala maneno mengi uwanjani yeye ni kazi kazi...

Mkataba wake unakarabia kuisha natarajia apewe wa miaka hata 3 awe na utulivu..
 
Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana
kama unamkumbuka alivyokua kipindi cha nyuma utaona jamaa kila kukicha ana improve...

a player that learns ,works hard and become better and better is pure gem aiseee, bei zilizopo sokoni kumpata like for like wa Matip ni majanga sana...

jiulize mbona Lallana na Hendo wapo pale pale stagnant as ever no improvement alipowakuta Klopp ni hapa hapa walipo...
 
Well said my fellow Kop

Anajitahidi kuimprove and that the thing that also makes me having a bit of belief on him

Lallana na Hendo yale ni magarasa ya kizawa ambayo rangi na uzawa unayabeba
 
Ndiyomana kukabuniwa Msamiati unaitwa "MAONI" kwasababu kama hizi.

Kulingana na Maoni/Mtazamo wa Mourinho Robben hakuwa mchezaji wa maana, Lakini kulingana na Maoni ya LVG Robben ni one of the Best player in last Two decades.
Kama hao Magwiji wawili katika ukocha wametofautiana Mtazamo juu ya mchezaji mmoja basi hakuna sababu ya kuwa Mimi na wewe tusitofautiane kwa mchezaji mwengine mmoja as long as tutaheshimiana kwenye kutoa Maoni yetu.

Kwa uwezo wangu hata kama ni mdogo wa kutazama mpira basi nasema popote kuwa Matip ni miongoni mwa mabeki bora japo hajafikia level za kina VVD.

Mimi Beki ninampima kwa Vitu viwili tu!

1) Uwezo wake wa kukaba
2) Kutokuwa na error prone zinazoleading to goal

Sasa Matip tumchambue katika mambo hayo Mawili!

1) Je ni error prone?
2) Je from last season to this season amefanya error ngapi zilizopelekea goli?
3) Amekuwa mzembe kwenye kukaba au anashindwa kabisa kukaba kwenye Defence?
4) Naomba mifano ya hizo mechi ambazo utazijibia hayo maswali.

Nadhani ukijibu hayo maswali ndiyo yatatupa picha kuwa Matip ni beki wa aina gani.

Lakini tukiendelea kusema/kuamini tu kuwa Matip ni beki mbovu bila ya kuthibitisha huo ubovu wake na kwa Mechi zipi! Hapo itakuwa tunazungumzia ubovu wa kinadharia.

Kwamfano Mimi ukinihoji kwanini ninasema Hendo mbovu?
Nitakujibu kuwa Hendo ni Attacking Midfielder (AM)

Kwahiyo AM ninampima kwa mambo hayo.

1) Assists
2) Goals
3) Take on
4) Touch
5) Passes complete
6) Dribbling

Sasa kama Ndani ya Msimu mzima hafiki ata Assists 7 wakati Beki TAA ana 13 hapo nitamuelewaje?
Nikitazama Wachezaji wa Kawaida tu kina Fraser wana takriba Assists 15 kwenye EPL tu, yeye kwenye all competitions hafikishi hata assists 7 halafu mtu aniambie ni Mzuri kwasababu akiwa hana mpira ni Mkali?

AM hafikishi hata Goli 5 per season in all competitions?

AM hawezi hata kukokota mpira na kudrible?

Kwahiyo nakuomba ujenge hoja kwa mifano juu ya ubovu wa Matip na si kushikilia misimamo tu kuwa Matip ni Mbovu.
Well Said Ngwaba

Mechi iliopita ya LFC na Newcastle lile goli alilotufunga yule dogo wa Newcastle kafanye review videos za lile goli kama mfano mdogo tu umuangalie Matip anafanya nini wakati dogo anafunga
 
Well said my fellow Kop

Anajitahidi kuimprove and that the thing that also makes me having a bit of belief on him

Lallana na Hendo yale ni magarasa ya kizawa ambayo rangi na uzawa unayabeba
💯💯 sure kabisaa....how he conduct his business wt ease and compusure is just superb....playing beside VVD has done him wonders..
 
Well Said Ngwaba

Mechi iliopita ya LFC na Newcastle lile goli alilotufunga yule dogo wa Newcastle kafanye review videos za lile goli kama mfano mdogo tu umuangalie Matip anafanya nini wakati dogo anafunga

Kwenye lile goli kwa asilimia 100% TAA hawezi kukwepa pale

Pale aliyefanya makosa ya Wazi ni TAA na wala sio Matip
 
Kwenye lile goli kwa asilimia 100% TAA hawezi kukwepa pale

Pale aliyefanya makosa ya Wazi ni TAA na wala sio Matip
TAA mdogo mdogo kiwango kinarejea....

ni kama baada ya msimu kuisha ali switch off kiasi fulani...but since ile game ya Ganaz there is some improvement....

hata corner na klosi zake sio utamu kama last season hopefuly he get those touches in time...

Vs Newcastle that his baby no way akwepe
 
Harvey Elliott ni most talented Winger kuliko Mane na Salah

Najua watu watanipinga bila ya kuniuliza reason! Lakini ukweli ndiyo huo

Kwasasa at 16 bado ni Mdogo kumuingiza kwenye Senior Team lakini he is best than any other Liverpool player

Its only matter of Time before making his Debut at Senior Team
 
Naona umeamka nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom