Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Uwepo wa Harvey Elliott na Origi unaweza kuwa sabubu ya Wilson kutokutoboa Liverpool

Huyu Wilson nahisi tu next season atauzwa
Nimehis hivyo mkuu ila wakati mwingine napata matumaini amepelekwa PL kuluko Championship labda kuna mpango mzuri juu yake.
His golden left foot ikitokea ameuzwa i will be hurted indeed.
 
Curtis Jones and Grujic next season wanahitaji wapewe nafasi kwenye senior team
huyu Curtis Jones hata mini nampigia chapuo aise, sababu zangu ni his Compure with and without the ball, his passing ability"

Wapewe nafasi ili tuone wameshindwa na sio otherwise
 
Nimehis hivyo mkuu ila wakati mwingine napata matumaini amepelekwa PL kuluko Championship labda kuna mpango mzuri juu yake.
His golden left foot ikitokea ameuzwa i will be hurted indeed.
Jonjo na Suso juzi Commacho ha ha haa.

Sito shangaa kwa kocha huyu kuwapa nafasi vijana
 
Harvey Elliott ni most talented Winger kuliko Mane na Salah

Najua watu watanipinga bila ya kuniuliza reason! Lakini ukweli ndiyo huo

Kwasasa at 16 bado ni Mdogo kumuingiza kwenye Senior Team lakini he is best than any other Liverpool player

Its only matter of Time before making his Debut at Senior Team
umesema sawa kabisa kaka ndogo ni talented but still RAW TALENT UNTIL WE SEE HIS NUMBERS ASSIST GOALS ETC....

kinachofuata sasa he get the nod to prove his is worth the jersey and a permanent spot with big boys table...

utofauti ni kwamba Mane and Salah are proven at the highest level they have delivered and pia wana constistence...

If Harvey can reach those height then sky is the limit..
 
Tricky game tomorrow.... Klopp needs to prepare for flanks attacks

Pulidic may get a game time and his trickery feet can land a defender into yellow or red card
Pulisic bado yupo honeymoon haja click so far...

ishu is thier new namba 9 who is scoring like a serial pro kumbe bado kinda and its very interesting...
 
huyu Curtis Jones hata mini nampigia chapuo aise, sababu zangu ni his Compure with and without the ball, his passing ability"

Wapewe nafasi ili tuone wameshindwa na sio otherwise
Curtis kwa sasa aedele development alipo huku Snr team hakumfai cz competation of playing minutes is so high..atulie tu muda wake utafika...

TAA is thier marker that why they are eager to learn wanajua one day a chance will come and they will take thier chances just like TAA and Robby...

they just need to concenetrate with thier development.
 
Harvey Elliott ni most talented Winger kuliko Mane na Salah

Najua watu watanipinga bila ya kuniuliza reason! Lakini ukweli ndiyo huo

Kwasasa at 16 bado ni Mdogo kumuingiza kwenye Senior Team lakini he is best than any other Liverpool player

Its only matter of Time before making his Debut at Senior Team
Type ya kina Bernardo Silva ,
 
Liverpool paid a £1m settlement to Manchester City after the Etihad club complained that their scouting system had been hacked, Sky Sports News understands.
 
Liverpool paid a £1m settlement to Manchester City after the Etihad club complained that their scouting system had been hacked, Sky Sports News understands.

Hiyo ilikuwa tokea Mwaka 2013 ambapo Liverpool waliiba username na password ya Scouting Team ya Man City na kuaccess mfumo wao wa kuscout Wachezaji kwa Karibia mwaka mmoja.

Baadae Man City waligundua na kumaliziana kwa Liverpool kulipa hiyo £1m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom