Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sijawahi kuwa na wasiwasi wa nani tutakutana nae after makundi hata miaka tuliyoingia fainali yote nadhani tulikuwa wa 2 pia. Hii mechi nilijua ngumu kutoka sababu napoli wangepania sana...ndo maana mwanzo nilisema asichoshe wachezaji apange tu akina lallana na shaqiri ili tumuwaze chelsea maana hili kundi tutapita tu. Hawa akina samatta hawana dili.lolote wala salzburg...ila ndo tushawachosha akina robertson na chelsea kala kidude atakuja na moto huyo balaa. Kama alivyotukimbiza kule kwenye supercup.
Ila nashukuru Kante atakuwa hajapona

Naomba Msada viongozi! Nisaidieni kuielewa hii ↑↑ post
Nimeshindwa kabisa kuifahamu imelenga kitu gani
 
Norwich kamfunga Man City. Zikikutana tena bado watu tutaamini Man City atashinda ingawa mechi iliyopita alishinda Norwich.

Umeelewa sasa?
unataka kusema Napoli ni kama Norwich?
 
Hv kumbe liver nayo ina mapungufu, kumbe nyie pia ua mna wahofia wapinzan aisee hili nimelijua leo nilimamuinishwa kwamba liver ndo timu bora ulaya kwa sasa, kumbe nili puyanga
 
poleni hapa ndugu zangu,afadhali ya nyinyi mliopigwa away kuna linyumbu limetandikwa home bila huruma wale valencia niliowatwanga H/A wamefanikiwa kutoboa tundu katika daraja
 
Kina dada vyombo vya chai vimeisha,tunaomba msuuze vilivyotumika haraka haraka.

Kwani ni nini kilimpata marehemu? Mbona alikuwa mkakamavu sana wikiendi ya juzi?
 
Aman iwe nanyi

Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain

Leo Valencia atakula si chini ya gor tano

Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono

Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool

Tukane saa nne wazee wa champion

Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k

Nimemaliza

LONDON BOY

Hongereni kwa kipigo cha goli 5 mlizowapiga Valencia
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahabahahahahahahahahabahahhahahahahaah


Kikosi cha Dunia kinapigwa na Napoli
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahabahahahahahahahahabahahhahahahahaah


Kikosi cha Dunia kinapigwa na Napoli
 
Mwaka jana tulicheza vibaya kuliko jana na tulifungwa goal moja jana japo tumefungwa 2 lakini tumecheza vizuri kuliko mwaka jana. Mimi sioni kitu cha kupanick katika hili. Ni kweli kuna mapungufu lazima yafanyiwe kazi lakini usajili kwa sasa sio issue ni tuwatumie nani na nani kutegemea na game. Mwaka jana mechi zote za away tulifungwa. Kwa mechi ya jana kwa maoini yangu sio kwamba tulikuwa wabaya sana tumecheza vizuri kiasi sio kama mwaka jana ilikuwa hovyo. Team nzuri bado hatuwezi kuwa wiki hii team nzuri wiki ijayo team mbaya hapana tunacheza na team nzuri pia. Kwa mwaka huu mimi kama mshabiki wa Liver tukitoka CL wala sitakosa usingizi natamani Liv mwaka huu watupe karata zote PL ni lazima tubebe ubingwa home halafu tutakuja tena CL.



Sawa basi
 
Aman iwe nanyi

Leo wahuni wa pale darajani tunaenda kushuka dimbani kumchakaza Valencia kutoka spain

Leo Valencia atakula si chini ya gor tano

Juzi tumetoka kumchapa mume wa man united wolves mkono

Sasa leo ni zamu ya Valencia na jumapili ni zamu ya Liverpool

Tukane saa nne wazee wa champion

Wazee wa futuhi man united na arsenal na nyie mkutane kwa diallo pale star tv kucheki futuhi ya akina brother k

Nimemaliza

LONDON BOY
Salamu zimefika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom