Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Matokeo Mkuu,
 
Lazima tukiheshimu na kukibubali kilichotupa mafanikio ...makosa yanakwepo ili tusijisahau na kuanguka mazima...tuko vizuri bado.
Tujikubali kwanza [emoji123]


A world class save [emoji33][emoji33]
 
Kwenye hili Group tunapita ila concern yangu ni je tutaongoza hili kundi?

Kuongoza kundi kuna faida yake pale utakapoingia 16 bora na mpinzani utakayekutana nae! Kama hukuongoza kundi manake utakutana na kigogo atakayeongoza kundi.
Muhimu kuingia tu 16 kaka, kwa sasa sisi ndo vigogo. Hakuna ambae anaomba akutane na liverpool. Ila kukusanya point 9 mwanzoni ni muhimu kuliko kujakupiga ramli mwishoni.
 
Ok vizuri na zile ngumu ngumu tulizoshinda Mid zilivyokaa.View attachment 1210502View attachment 1210503View attachment 1210504

Hii game ya Liverpool vs Barca imewamislead wengi

Mtu unamuekea Game zaidi ya 10 kubwa tulizoharibu kwa Mido yenye Combi ya MILNER - HENDO

1) vs Madrid (Fainali UCL)
2) vs Roma (Semi Final UCL)
3) vs Napoli Away (UCL 2018/19)
4) vs Napoli Away (UCL 2019/20)
5) vs Red Star Away (UCL 2018/19)
6) vs PSG Away (UCL/2018/19)
7) vs Man City (EPL 2018/19)
8) vs Manure (EPL 2018/19)
9) vs Barca (UCL 2018/19)
Na mifano mengine mengi tu...

Lakini still Mechi yake moja vs Barca tuliyomfunga 4 kwa Mido hiyo ndiyo imekiwa best example ever kuwa hawa ndiyo Best Mido 1/9 ni hesabu ndogo sana lakini kuna watu wanaifanya hawaielewi.

Haya bhana hii mechi vs Barca tuliyompiga 4 wacha tuifanye ndiyo ya kujifariji milele na milele

Kama mpaka kwa mifano niliyokupa bado hujaelewa udhaifu wa hawa watu! Basi Nainua mikono joo sinauwezo tena wa kudebate na wewe! Itabidi uendeleee tu kujifariji kuwa tulimpoga 4 Barca tukiwa na MILNER-HENDO.
 
There is some sort of improvement kwa game ya jana, 4 shorts on target compared to our previous meeting tuliishia kuzurura tu with 0 short on target.

Jamaa walikuwa well organised kwenye midfield na nyuma na mbinu ya kuwazuia TAA na Robertson wasipandishe mashambulizi imewasaidia.

All ni all we we showed an outstanding performance ukiondoa makosa madogo madogo yaliopelekea tupoteze.

#YNWA
 
Wakati tukihesabu Viwango vya Current season kwani ndiyo inayogombaniwa Makombe, Season zilizopita zimebaki history tu hakuna kinachogombaniwa! Usijeshangaa kuwa Kuna watu watakuambia Mchezaji Flani mwaka 2014 au 2017/18 alikuwa bonge la mchezaji kwahiyo ni bora kuanzisha kila game.

Hapo ndiyo utaelewa kuwa kuna Watu Wanaishi kwa kukariri History wala hawaangalii kinachoendelea uwanjani.
 
By the Way Wakati Tayari Tumeshanyanyua Ndoo ya UCL last season basi hata tukitolewa kwenye hatua ya Makundi basi kwangu ni poa tu.

Shida Msimu huu itakuja pale tukibottle kwenye EPL, yani nitaumia sana tu.

Hili nalihitaji kwa Nguvu zote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…