SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Naked truth. Bobby is the SYSTEM.
kaka wak
kaka wakati mwingine stats hazikuelezi kila kitu uwanjani,na kuna tofauti kubwa sana kuangalia mpira kwenye TV ,na kuangalia live uwanjani...kwa sababu mfano wanachokifanya gini ,hendo na firmino OFF THE BALL,huwezini kuona kwenye stats sehemu yoyote ile mpaka uwe uwanjani...na hapa ni pale timu inapokuwa na mpira au wakati kudefendi...workrate...kwa bahati mbaya TV inaonyesha uelekeo wa mpira tu....ukiangalia trent anavyolindwa na akina hendo na gini akiwa kwenye zone ya adui huwezi kuona kwenye TV.Lakini cha watu watakwambia hendo anakimbia kimbia tu uwanjani
i tell you this Samba when on this fire only the sky is the limit...Something very important to note, Bobby this season ndiyo amegonga katika ile peak yake ya football career
i tell you this Samba when on this fire only the sky is the limit...
Huyu Jamaa amshukuru sana Mganga wake
Acha wawepo wote tu, watu hatujasajir tukiuza tutakuwa hatufikirii sawa sawa
Umuuze Salah?Are they crazy?Hii Ndiyo Post Ya Kimpira! Sio Wale Wanaoropoka Salah auzwe, Aekwe Bench n.k.
💪 💪 💪 💪
Hata sisi tuliwahi wafunga city 4 na beki akiwa lovren huyo huyo, hata mwaka jana robo fainali city alikula 3 anfield na na kwake akala 2 kwa moja beki akiwa lovren huyo huyo, punguza chuki kwa lovren pamoja na mabaya yake pia anayo mazuri alishafanya, acha kusema mabaya tuInaonesha umezimiss sana zile 5 na 4 tulizopigwa na City and Spurs respectively wakati kina Aguero, Jesus na Henry Kane wakimzunguka Lovren kama wanacheza Mdundiko!
hahaha na hapo ndio manciti anakua na moto balaaaa.....hili llinatokana na yaleyale ya miaka yote kikosi kiduchu mnooo maana hapo kuna Ucl, Epl na FA ....wachezaji hapo moyo unataka ushindi mwili unakataa na pia majeruhi miezi hio hua wapo wapo wengi kikosini...Yani huyu jamaa sasahivi anakipiga balaa! Lakini Liverpool ina kitu ninakiita Jan-Feb syndrome ha ha ha ha! Ikifika kipindi hichi hakuna Cha Salah, Mane wala Firmino! Wote wanakuwa kama mrisho Ngassa tu! Hao kina TAA ndiyo hutamani hata kuwaona...
Na ndiyo kipindi hichi huwa ndipo tunapopoteza ubingwa
Kuanzia March ndiyo wanarudi tena upya kama waliofungwa Engine ya Bombardier
Utakuwa umechanganya mechi mkuu ile mechi ya ujerumani vvd alikuwepo nae alitoa pasi kwa mane kufunga na yeye alitupia goli.ILA ULICHOANDIKA MM NAKUBALIANA NA EWEW ASILIMIA ZOTE HATUWEXI KUSHABIKIA KUUZA WACHEZAJI KIPINDI AMBACHO HATUJAFANYA USAJILI WA KUTOSHA.Huwezi kumuuza beki kipindi hiki hapa, hizo si fikira nzuri, siku zote mpira lolote laweza kutokea, wakati tunacheza na buyern kule Germany VVD alikuwa suspended, Gomez alikuwa kitandani, matip kitandani, pale nyumba alisimama Lovren na Fabihno, buyern akala 3 kwa 1, leo hii ww unapambana lovren auzwe wakati hatujasajiri mwingine, ikitoke injury au suspension kati ya hao watatu waliopo twafanyaje? Jaribu kufikiria sawa sawa ndg yangu Gwaba
Hii comment ya mwaka ,ndio maana casemiro yupo Madrid, Hendo yupo Liverpool, Hawa ni wasiojulikana mzigo wanaubeba mkubwa Sana, dunia hii inaowachezaji wachache sana wanao onekana kila mpira ulipokaka wak
kaka wakati mwingine stats hazikuelezi kila kitu uwanjani,na kuna tofauti kubwa sana kuangalia mpira kwenye TV ,na kuangalia live uwanjani...kwa sababu mfano wanachokifanya gini ,hendo na firmino OFF THE BALL,huwezini kuona kwenye stats sehemu yoyote ile mpaka uwe uwanjani...na hapa ni pale timu inapokuwa na mpira au wakati kudefendi...workrate...kwa bahati mbaya TV inaonyesha uelekeo wa mpira tu....ukiangalia trent anavyolindwa na akina hendo na gini akiwa kwenye zone ya adui huwezi kuona kwenye TV.Lakini cha watu watakwambia hendo anakimbia kimbia tu uwanjani
chief, upo sahihi 101%.kaka wak