Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu king Jana mmeshinda kwa upumbavu wa kocha wetu, Jana hatujawapa kipimo halisi kabisa

Arsenal hatuna kocha tuna msimamizi wa mazoezi , I miss Arsene Wenger anajua acheze vipi Anfield sio huyu mvuta bangi emery ,

Liverpool msimu huu hampo bora sana, ila jana tumewapa credit sababu ya Upumbavu wa emery ambaye sioni akibaki Arsenal tena kwa poor tactics.

All in all hongereni
Haya ndio yaliwaponza jana. Kuanzia wachezaji na mashabiki wote wa Arsenal waliamini wao ni Bora kuzidi Man City, Man U, Chelsea na Spurs na Asernal za nyuma ambao wameshindwa kuchukua point 3 Anfield kwa muda mrefu.

Kina Sokratis walifikia level ya kuona washambuliaji wa Liverpool ni dhaifu kuliko wa Barnley. Matokeo yake ndio hayo

Unamfunga Newcastle kwa taabu, Burnley nyumbani kwa shida halafu unategemea kwenda kushinda Anfield?

Na kama unavyosema ni kweli kama Liverpool ingecheza vizuri jana mngekula goli 5
 
Hatukuamin sis ni bora , ni heri tungeshindana na Liverpool kwa kuwekwa squad iliyokamilika ,ila sasa tumefungwa kwa upuuz wa kocha ,

Nakuhakikishia Jana Unai asingepanga kikosi ovyo ,tulikuwa tunafanya kitu hapo anfield , Ila tuna kocha muoga sana, Hata kupanga timu kashindwa .
 
Ivi wewe jamaa kikosi chenu kamili ni ipi?

Maana ukifungwa tu Unai hajapanga kikosi kamili.

Ebu tupe first 11 yenu hapa.
 
Mkuu king Jana mmeshinda kwa upumbavu wa kocha wetu, Jana hatujawapa kipimo halisi kabisa

Arsenal hatuna kocha tuna msimamizi wa mazoezi , I miss Arsene Wenger anajua acheze vipi Anfield sio huyu mvuta bangi emery ,

Liverpool msimu huu hampo bora sana, ila jana tumewapa credit sababu ya Upumbavu wa emery ambaye sioni akibaki Arsenal tena kwa poor tactics.

All in all hongereni
Et liva hatupo bora sana

Daah mkuu ??!
 
Ivi wewe jamaa kikosi chenu kamili ni ipi?

Maana ukifungwa tu Unai hajapanga kikosi kamili.

Ebu tupe first 11 yenu hapa.
Huijui arsenal bas tulia maana mpaka sasa unai hana kikosi cha kwanza, na anawachezaj wazuri tu, ambao angekuwa na. Wenger sasa hivi tungekuwa tunaelekea nchi ya ahadi,

Kama pepe na auba waliweza kuweka kash kashi kwa beki line ya Liverpool ,alishindwa nn kuweka strong midfield na kumtia pale mbele laca ambaye ana hold mipira ili kutoa nafas kwa pepe na auba kufanya YAO?

Utagundua hatuna kocha tuna msimamiz wa mazoez.
 
Et liva hatupo bora sana

Daah mkuu ??!
Kwan uongo ,ila tamben maana kwa midfield ile aliyoweka unai , had hendo alitakata ,

Ina julikana kabisa 70% ya magoli ya Liverpool yanazalishwa na midfield na usaidizi wa mwenyewe kwa wenyewe wa ile trio , utaniambiaje una kiungo kizuri cha hendo & gini? Katika kusupply mipira ? Labda keita na Ox ndio wanaiweza hiyo kazi,

Ila kitendo cha emery kucheza Diamond na kuweka U21 ktk midfield kuliwafanya hata hendo atakate .
 
Nitajie kikosi chako ulichotaka kicheze jana
 
They should realy thank their goal keeper

Ame wa save balaa

Yaani ungekua ni msiba jana
definetly jana keeper wao kept them in th game very well....
but jana was our day to get back the lost mojo...

that Fabby pass to release Salah to score mann that was damm awesome...

well hopefuly now we wont be seeing relapse like the previous game...

in real sense Ganaz game plan really helped us big tym..we av seen without our LB and RB going forward our Mids players lack that creative edge to open stubborn defences and they also are lacking in sheilding the back four thus overworking Fabby most of the times...

at times we need a game kama ya jana to rekindle the lost glory...

Vs Burnley i expect the same attitude...
 
Upo sahihi kabisa ,game plan ya Jana ya unai ndio iliwafanya mshaini sana,

Kocha wetu katukosea sana , yaan matusi anayokula huko tweeter sijui .
 
Ile pass mzee hafu alivyo m bypass luiz it was real amazing

Huyu AROON AISEE anasema eti ni kama tulibahatisha simwelewi kabisa ani
 
Upo sahihi kabisa ,game plan ya Jana ya unai ndio iliwafanya mshaini sana,

Kocha wetu katukosea sana , yaan matusi anayokula huko tweeter sijui .
pengine akishinda derby itatuliza hasira kwenu ndugu yangu...

hawa makocha sometimes sijui wanabet...hata Klopp aliwai kutupangia Hendo RB, akaja tena vs Manu kwao akatuwekea pancha Lallana na hivi karibuni umeona akimuweka Ox gemu ya fainali supercup na kumuacha ever blazing Bobby...

jana mmeanguka ni kujipanga kupambana siku nyingine...
 
Leo kwakweli kabla ya zile crazy subs hakukuwa na mchezaji wa Liverpool aliyecheza vibaya!

Leo wachezaji wetu wote walionesha performance ile tunayoihitaji hasa (Mainly First Half).

Hata Gini naona leo kapiga mpira wa uhakika.
Aisee unaunampinga Gini sana,i think was fatigue tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom