Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hizo kauli zako zote zinavumilika ila hiyo ya firmino embu ifute na ututake radhi. Halafu barca ipi unaiongelea ile iliyofungwa nne na kina origi au hii iliyopigwa na bilbao wakiwa wanazurura pale uwanjan
Midfield imekufa mkuu unategemea firmino ata fanya nini??
 
Hahaaaaa bado sana kuanza kupata walau point 1 ,
Yan nyie kushinda gemu mbili na midtable teams mshajiona tlni title contenders (achilia mali top four)
Unakumbuka msimu uliopita mulishinda game 22 mfululizo??

Sisi tunahesabu tuu...
 
City kashinda ngapi?
Kuna Mwana Liverpool hapa week jana aliandika kwa dharau sana kuwa Pep kaisha chukua usukani na hatoki tena!
Kaendelea kuongea kuwa Klopp yy anakalia kusajili yoso tu
Nawaonya hapa kila siku,tuchague sana maneno ya kuandika
Pep ambaye hafungiki leo kashinda ngapi?
Thank you Klopp!!
 
Wee jamaa uchambuzi wa mpira umekupitia mgongoni
City kashinda ngapi?
Kuna Mwana Liverpool hapa week jana aliandika kwa dharau sana kuwa Pep kaisha chukua usukani na hatoki tena!
Kaendelea kuongea kuwa Klopp yy anakalia kusajili yoso tu
Nawaonya hapa kila siku,tuchague sana maneno ya kuandika
Pep ambaye hafungiki leo kashinda ngapi?
Thank you Klopp!!
 
Wazee wa 21 unbeatable run. Hivi nyie utani wenu wa jadi hauishi.
aise acha tu mkuu ..zile 21 unbeaten ziliwaingiza mkenge mkuu wakaona wanaeza beba ata EPL...

Naona wameanza kuesabu tena..

.utani hauwezi kuisha mpka arsenal itakapokuwa siriyaz ..kama Spurs vile..

Sasa timu ina fanya usajili kila msimu lakini bado inaishia kushiriki Europa tu unategemea utani kuisha..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom